Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf wakiacha waje kukulisha ww bwana mkubwa 😂😂 yani aache miradi ya kizazi na kizazi aangalie tumbo lako ww, ww kama biashara yako ya mbao imetumbuliwa tulia bana hilo dinvi lisitoke kwanzap

Huyu jamaa ChoiceVariable ni bwana shamba feki kutoka kunya, anahusika na madawa ya kilimo kutoka kunya na uwakala wa kununua na kusafirisha mazao kupeleka kunya. Lazima atoe milio sana hapa maana kwa ground ashaona mambo yamemkalia vibaya. Anapatikana huko nyanda za juu kusini.
 
sindio maana nimesema walizoea lile shamba la bibi safarii hii pele limepata mkunaji anatoa povu tani 2😂😂😂😂
 
37753307-68DC-459C-BCE3-695D6866FDB6.jpeg
 
Hii kitu wahusika mara nyingi ni manispaa na mindset wakazi husika kuna sehamu kama Dodoma manispaa imekuwa ngangari kuingilia ujenzi holela wakati sehemu kama Moshi pia ni manispaa ukichanganya na mindset. Kimila Moshi mtu hata akiwa hana gari atatenga nafasi ya gari kufika na mara nyingi nyumba huwa mita 30-50 toka kingo ya shamba. Arusha nao wana upuuzi wa kujenga holela
Wachagga wanaita 'kichumi', yani lazima nyumba iwe na kichumi na fensi ya mchongoma au maua
 
Ndg zangu swala la mpangilio wa makazi ni tusimlaumu magufuli ni la miaka mingi kuanzia miaka ya tisini, kwa kweli kama kuna kitu awamu zilizopita hasa ya pili tatu na nne ni kushindwa kuwa na mpango mzuri wa makazi, na inasikitisha kuona kuwa hii idara ya mipango miji ilikuwepo. Binafsi sijaona umuhimu wa uwepo wao wanalipwa pesa ya uma alafu mini yetu inakuwa iswahili mtupu.
Awamu hii imepangilia wapi? mbona miji yote hadi sasa inaendelea kuwa uswazi slums? Lawama zote kwa John na maccm
 
imebanwa na nani??? ww ni ushuzi 😂😂😂 yani unataka kufanya watu wote humu hatuna macho na akili
Si mlisema hahitaji kampeni sasa kilio cha kwenye majukwaa kila siku ni cha nini kama amejenga stiglaz,sgr,flaiova nk nk ..mbona analia lia majukwaani hadi kutia huruma? Tumemkaba kila kona amesalia kuweweseka tu na kutoa vitisho uzuri watu wanamchana live anafura hasira na kupoteza network anaishia kutoa vitisho.
Huyo mbaguzi wenu tutamchinjia baharini oktoba,kama vipi mchukue uishi nae ndani kwako
 
Huyu jamaa ChoiceVariable ni bwana shamba feki kutoka kunya, anahusika na madawa ya kilimo kutoka kunya na uwakala wa kununua na kusafirisha mazao kupeleka kunya. Lazima atoe milio sana hapa maana kwa ground ashaona mambo yamemkalia vibaya. Anapatikana huko nyanda za juu kusini.
Utaweweseka sana ,kwenye hili jukwaa mimi ndio huwa nawatoa nishai nyie wapiga pambio mnakera kama matapishi,mnafukarisha watu vijijini na mijini kwa sera zenu za kiutopolo ,mnataka watu waanze kukimbia nchi yao kama Ethiopia?
 
Back
Top Bottom