😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nani anataka maua na covid hii😂😂😂
washikaji wapo serious sana kwenye sector ya anga....Noma sana, I Like Ethiopian, hawana kelele wala ulimbukeni.
😂😂😂😂😂😂 alikua bangi bila shala
Wakati huo huo kuna vitu ambavyo vipo Tanzania lakini kenya havipo.hebu orodhesha hayo mambo mliyotupita......kama kwamba kenya kipo Tz hakuna[emoji3][emoji3]
Mzee kapambana sana Anastahili pongezi kiasi!!
Ww pimbi mnakula chakula cha msada muwe juu ya nani?...Mntakapo tupita....lakini hivi nyie wa tZ mtaamini lini tuko juu yenu Kwa kila jambo????? Kutoelewa Jambo kama hili pia ni upumbavu
Msimbazi Street KariakooView attachment 1564073
Moderator, Invisible, Maxence Melo naomba hili suala liangaliwa kuna huyu Zigi Rizla ana-account zisizopungua kumi na kazi yake ni matusi na uvunjifu wa amani sasa hivi baada ya ban anatumia handle ya ChoiceVariable, je ni sawa haya yanayotendeka humu?
Yaap,Pata picha baada ya awamu zote Sita kua tayari...Kimara -chalinze super highway 94.2 km 8lanes...Dar metro ,SGR to mwanza and MGR to northen,Kigoma ,tazara-Zambia, +commuter wow kutakua mtoni sana
Sio sekta ya Anga tu, ni vile hawana popularity sababu hawana Mbwembwe, But ukiacha siasa zao za Makabila wanajitahidi sana hata kwenye mfumo wao wa Afya na Elimu.washikaji wapo serious sana kwenye sector ya anga....
nawapa pongezi sana
Hahaha, Bangi mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua bangi bila shala
tuliza roho yako hapa😂😂👇👇👇