Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GDP inanyea debe 😂😂👇👇
53A7D5D1-F46F-4A03-A6D2-67E0751AF64C.jpeg
 
Hii kitu imeshika kasi sana, black Americans wanarudi Afrika kwa wingi sana, wamechagua nchi 3, Ghana, Gambia na Tanzania
Hao ni wale waliojielimisha kuhusu Afrika na kutambua nchi gani zina uafrika halisi. Wanaelewa vyema mifumo ya kibaguzi na kinyonyaji nchini mwao. Hawawezi kwenda kuishi nchi kama Kenya, Afrika kusini au Nigeria kwa kuwa huko kuna mifumo kama ile ya kwao.

Pia huwezi wakuta wanaenda kwenye zile nchi zisizojielewa kama Msumbiji, wanaodhani wao ni wareno, hizo ni nchi zilizokuwa brainwashed. Wao hawataki kuwa brainwashed.

Kati ya hizo nchi tatu ulizotaja, Tanzania ndiyo nchi ngumu kwa wageni kuishi lakini bado wanakomaa tuu. Wanaelewa kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee yenye historia, utamaduni na mikakati inayojielewa kama nchi ya kiafrika.
 
Hii stendi mbona sijawahi kuiskia,anayeijua anijuze kwa undani wadau!

Stw
iko jijini mwanza itakua ni moja ya stendi kubwa sana na ya kisasa sana tanzania na africa mashariki
itakua na bus terminal
itakua na lorry parking stage
itakua na hostel kwa ajili ya lorry drivers
itakua na cargo terminal
itakua na shopping building
itakua na garage building
 
iko jijini mwanza itakua ni moja ya stendi kubwa sana na ya kisasa sana tanzania na africa mashariki
itakua na bus terminal
itakua na lorry parking stage
itakua na hostel kwa ajili ya lorry drivers
itakua na cargo terminal
itakua na shopping building
itakua na garage building
hatari sana.....
 
iko jijini mwanza itakua ni moja ya stendi kubwa sana na ya kisasa sana tanzania na africa mashariki
itakua na bus terminal
itakua na lorry parking stage
itakua na hostel kwa ajili ya lorry drivers
itakua na cargo terminal
itakua na shopping building
itakua na garage building
In addition to soon to be built Mwanza SGR station n PAX terminal at Mwanza international airport!
 
na bado imeishia machakani 😂😂😂👇👇


Debt trap imeshaanza kufanya kazi yake. Wachina ni washenzi sana kwenye hii michezo ya wizi wa fedha za umma kwa njia hizi za shirika/kampuni kupata hasara. Ndio maana nashangaa sana wanaoshabikia mkataba wa bandari ya bagamoyo, kwa kweli nchi ingeumia vibaya sana kama tungeingia huo mkenge kwa masharti ya hovyo ya huo mkataba. Viva JPM for bold decision of cancelling this killer mkataba.
 
Back
Top Bottom