The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
[emoji3][emoji3][emoji3]ACHA USENGE. PELEKA HUU UMBEA WAKO HUKO JUKWAA LA SIASA.
[emoji3][emoji3][emoji3]ACHA USENGE. PELEKA HUU UMBEA WAKO HUKO JUKWAA LA SIASA.
kampeni ni wajibu na nilazma atekeleze kwasababu kuna ruzuku chama kinapewa kwa kazi hio so usiwafundishe watu nini cha kufanya kama ww umekaangwa tulia dawa ikuingie vzr sisi hatuhitaji mapovu yako manake hayatusaidii😀😀😀 ww pambana na hali yakoSi mlisema hahitaji kampeni sasa kilio cha kwenye majukwaa kila siku ni cha nini kama amejenga stiglaz,sgr,flaiova nk nk ..mbona analia lia majukwaani hadi kutia huruma? Tumemkaba kila kona amesalia kuweweseka tu na kutoa vitisho uzuri watu wanamchana live anafura hasira na kupoteza network anaishia kutoa vitisho.
Huyo mbaguzi wenu tutamchinjia baharini oktoba,kama vipi mchukue uishi nae ndani kwako
kwani reli yenu mlijenga kwa siku mbili ?? acheni wivu wa kitotoReli bado mnajenga Hadi lini.
Uchumi bado mnajenga Hadi lini.
Barabara bado mnajenga Hadi lini.
Anzeni vitu mkamaliza.... hapa Kazi tuuu kageuka kuwa...twajenga tuu
matajiri wanakopa pesa yakulipa mishahara 😂😂😂😂 kazi munayo japo ukweli munaujuaMkopo hupewa tajiri..hebu leo nenda benki kimaskini maskini uone kama utapewa hela.....sisi twakopa Kwa maana tunao uwezo wa kulipa...hebu jaribuni kulipa kama sisi muone kama hamtakuwa district ya chaina...iwe mnaitwa majina kama tundulisu Ching hu, pombe ching li nkl
mm natamani avocado tupande zaidi tutikise kisawasawa👏👏👏Ukiwa na alternatives kama hizi yanini kuomba COVID funds? Imagine gold revenue is about $1 bln more than last year! Ikumbukwe na export ya samaki as protein supplement pia imepanda! Wale jamaa wa chai na maua vimedoda!
nani anataka maua na covid hii😂😂😂Kenya wameexport maua ya pesa ngap[emoji23][emoji23][emoji23]
wananyea debe sahii pale makuru kayaba😂😂wale wa greenfield terminal wako wapi?
tuliza roho yako hapa😂😂👇👇👇Watu wa dizaini yenu mnakerwa na tatizo lakini hamjui chanzo au mnajifanya hamjui,serikali yenu ya maccm ni hopeless kabisa haitoi pesa za kupima wala haizui watu kujenga ovyo maana hata ukiwazuia watakuuliza pima viwanja tujenge.Nimeongea mara nyingi humu kwamba kwa ccm mtu kuishi kwenye plot inachukuliwa ni kama anasa na pengine wanatakiwa kuishi watu wenye pesa.
Kama viongozi wa ccm wanalipisha charges za maiti kwa mujibu wa Hashimu Rungwe unategemea wataweza nini? Kama viongozi/watendaji wa serikali ya ccm wanawaandikia wagonjwa makaratasi yenye mihuri ya wilaya na mikoa ili wawe omba omba mitaani eti wachangiwe pesa ya matibabu unategemea wataweza nini? Kama maccm wanatuambia kuna elimu bure wakati tunawanunulia watoto wetu kuanzia uniform,madaftari,tunapeleka madawati na tunachangishwa pesa za ujenzi nk nk ,hiyo elimu bure iko wapi? Ni ajabu sana kuona watu wako busy na mandege sijui mareli nk nk at the expense of poor people..evidence umeme uko kila kijiji kwa sasa na bei ya kuingiza ni 27,000 tu lakini huko vijijini unakuta less than 15 people ndio wame connect,no money no strategy ya kuinua kipato chao..maendeleo ya vitu ,Ethiopian economic model
Ignore that manUnaushahidi? Unahara tu huna facts
OK, sikulijua hiloHuyo co mgeni mkuu, huyo ni zigi Rizla kwa id nyingine mpuuzi sana uyo jamaa kapigwa ban ku comment humu kwahyo anafungua id mpya kila siku.
Wainuke zaidi ili wakija kufanya check-up tunawapiga bei Za mkaa
Jamaa namtaman sana ujue...anamishe Za kijinga sana...Btw nmeshamtema
Pata picha baada ya awamu zote Sita kua tayari...Kimara -chalinze super highway 94.2 km 8lanes...Dar metro ,SGR to mwanza and MGR to northen,Kigoma ,tazara-Zambia, +commuter wow kutakua mtoni sanaMsimbazi Street KariakooView attachment 1564073
waweke sheria kama kila sehemu inayojengwa ambayo haijapimwa wawe wanaacha mita kadhaa ya barabara na iwe lazimaMindset yetu pia ibadilike unakuta mtu anajenga nyumba ya matofali na anaezeka bati kwenye kiwanja hakina njia ya kufikika yaani ni kwa uchochoro!
eti hilo nalo ni swali ......nimecheka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwisho wa kujenga uchumi ni lini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
hebu orodhesha hayo mambo mliyotupita......kama kwamba kenya kipo Tz hakuna[emoji3][emoji3]Mntakapo tupita....lakini hivi nyie wa tZ mtaamini lini tuko juu yenu Kwa kila jambo????? Kutoelewa Jambo kama hili pia ni upumbavu