Watu wa dizaini yenu mnakerwa na tatizo lakini hamjui chanzo au mnajifanya hamjui,serikali yenu ya maccm ni hopeless kabisa haitoi pesa za kupima wala haizui watu kujenga ovyo maana hata ukiwazuia watakuuliza pima viwanja tujenge.Nimeongea mara nyingi humu kwamba kwa ccm mtu kuishi kwenye plot inachukuliwa ni kama anasa na pengine wanatakiwa kuishi watu wenye pesa.
Kama viongozi wa ccm wanalipisha charges za maiti kwa mujibu wa Hashimu Rungwe unategemea wataweza nini? Kama viongozi/watendaji wa serikali ya ccm wanawaandikia wagonjwa makaratasi yenye mihuri ya wilaya na mikoa ili wawe omba omba mitaani eti wachangiwe pesa ya matibabu unategemea wataweza nini? Kama maccm wanatuambia kuna elimu bure wakati tunawanunulia watoto wetu kuanzia uniform,madaftari,tunapeleka madawati na tunachangishwa pesa za ujenzi nk nk ,hiyo elimu bure iko wapi? Ni ajabu sana kuona watu wako busy na mandege sijui mareli nk nk at the expense of poor people..evidence umeme uko kila kijiji kwa sasa na bei ya kuingiza ni 27,000 tu lakini huko vijijini unakuta less than 15 people ndio wame connect,no money no strategy ya kuinua kipato chao..maendeleo ya vitu ,Ethiopian economic model