stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,374
- 38,109
Hii ni Isdingo kaka, itaisha tukishafariki, nadhani watakuja wengine pia kuindeleza, mana walioinzisha wenyewe hawapoHii battle mbona haiishi
Babu jinga refinery tanga itajengwa,uwa hatuna papara,kwanza advantage kubwa mafuta ya uganda yanapita kwetu,nyie ni looserLeo tumewanyoa bila Maji 🤣🤣🤣
Babu mu7 leo alikua anaharibu tu 😃haya maneno yamlifanya awe uncomfortable sana 🤣🤣🤣 now kenya has provide the 30% 🤣🤣🤣 na investors wakiskia hadi crude source kajitoa 🤣🤣🤣🤣 sjui lakini wasije kulia bure wakina mwaiofhawaii
ALAFU alikua ananyoosha maelezoBabu mu7 leo alikua anaharibu tu 😃