Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Mko juu yetu kwa Kila Jambo!!? Nataka utaje mambo matano tu, ambayo mko juu yetu,sitaki mengi!Mntakapo tupita....lakini hivi nyie wa tZ mtaamini lini tuko juu yenu Kwa kila jambo????? Kutoelewa Jambo kama hili pia ni upumbavu
