Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,316
- 4,255
Mkuu,ni moja ya vitu...?Tulieni... View attachment 1558577
Mkuu,ni moja ya vitu...?Tulieni... View attachment 1558577
[emoji3][emoji3][emoji3]
swadakta,,,,hakika imewachoma hii majirani
Naomba link ya ilani ya ccm kwa mwenye nayo.
Mmetutesa maika mingi sana nyie ngedere kutuharibia kwenye media, tumewaamulia sasa msianze kulia lia mliyoyataka mtayapta . tulihisi nyie majirani wema kwa miaka mingi tumekuwa tukiwaangalia tu mnajitanua. Sasa mtakula udongo safari hii hatucheki na nyani.Kawaida yenu kufuatilia wakenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhyo sishtuki
Tuliwaambia
🤔heheh wazee wa GDP 😂😂👇👇View attachment 1558968