Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbezi mwisho hadi final touch ilikua inafikia ukingoni,ila ndio kulikua na bonge la foleni kila siku iliyokua inasababishwa na jinsi kona ya goba kulivyodesigniwa,juzi wamefumua upyaa pale kona ya goba,nasikia kuna kitu kipya cha maana kinapandwa pale
Yaaap, kwa kweli pale hapakuwa na namna, ila hii njia itahitaji maboresho sana, haijazingatia vitu vingi, vivuko pamoja na njia za watembea kwa miguu, Desigñer hakuwa makini na kazi yake
So far pale Mbezi patakuwa complex sana ukiongeza na ile interchange ya kuingia na kutoka Stendi mpya ya Mbezi,
Amazing things..
 
Nashangaa kwanini mnaendelea kumjibu huyo Upumbavu mwisho wasiku mtageuza Mada hii jukwaa la sias
Na humu kila mmoja ana upande wake
Tutaanza tofautiana
Nikweli kabisa cz huu uzi hauusiani na siasa, rais awe Magu, Lissu, Lipumba au hata Rungwe tutamsifia as long as anafanya yale tunayotaka afanye kwa maslahi ya taifa so watu wasichanganye Magu na Ccm au Lissu na Chadema hvyo vitu ni tofauti kabisa tunataka maendeleo vyama hatuna faida navyo.
 
Hapa ndipo huwa naona uzembe wa viongozi wa tm zetu za mpira, hv tm km yanga kweli inashindwa kumiliki kauwanja ka mazoezi km haka? Kweli jamani? Wanaenda kufanya mazoezi kwenye uwanja wenye nyasi zilipauka kiasi kwamba mchezaji akidondoka tu kaumia.

Jana nimeona clip wachezaji wa yanga wakifanya mazoezi, nilikuwa namuangalia Kalinhos akiwa hana furaha japo inawezekana kutopangwa lkn kwa asilimia kubwa ni jinc uwanja ulivyo mbaya yn ni mbaya kweli kweli ni aibu aibu aibu, ukipambana uwape strategies za kutoka hapa tulipo wanaleta dharau wanataka mpk Kikwete ndo aseme wanasahau kwamba planner co mpk awe na PhD au awe mashuhuri.

Btw ngj nipambane cku niende pale ofisini jangwani nikawape proposal yng wakielewa sawa wasipoelewa ntapambana niipeleke simba nako ikishindikana basi.
Safi man
 
IMG_1599739662.740482.jpg
 
Back
Top Bottom