JANUARY MAKAMBA MAKAMU,DR CHARLES KIMEI AWE WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA NA KITAFUTWE KICHWA KWA AJILI YA KUSHUGHULIKIA MAHUSIANO YA KIMATAIFA Prof MIJICHO APIGWE CHINI
 
JANUARY MAKAMBA MAKAMU,DR CHARLES KIMEI AWE WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA NA KITAFUTWE KICHWA KWA AJILI YA KUSHUGHULIKIA MAHUSIANO YA KIMATAIFA Prof MIJICHO APIGWE CHINI
Kwa nini January Makamba anakuwa suggested sana na ni mtu wa ndani wa Wamarekani?Nadhani wanaotoa wazo la January ni makarai ya Wamarekani! Ila let me tell you this,acheni day dreaming,the establishment knows January,kwa hiyo hatapenya,msijisumbue.
 
Rais Pwani na makamu wa Rais iwe Pwani tena?
Serekali ya magufuli ilikuwa na mawaziri na manaibu 10 wasukuma, hatukusema lolote, ilikuwa 90% dini moja na wengi walikuwa wa madhehebu ya Raisi, hatukulalamika, wengi tulisema bora ni watanzania na wachape kazi. Marehemu JOhn F Kennedy alipomchagua Mdogo wake Robert kuwa Mwanasheria mkuu, Robert alilamika kuwa watu watasema anampendelea ndugu yake. JFK alimjibu, Hata wewe tena mdogo wangu ni Mwananchi wa USA , mwenye haki sawa kama wengine kwenye nafasi yoyote, bora unazo shahada na ujuzi stahiki na una muelekeo wa kizalendo wa kupendeza.
 
Mungu Amrehemu kipenzi cha watanzania na jemedari wa kweli, JPM. Kiongozi uliyepambana kuiwrka Tz kwenye ramani kwa gharama kubwa.

Twende mbele.

Kwa nn 85% chance Mpinzani atakuwa VP?

Maridhiano na mshikamano
Neutralize hisia mbaya za chaguzi iliyopita
Umoja wa kitaifa
Amani na upendo.

Possibility:
Lissu Tundu Antipas 30%
Zitto Zuberi Kabwe 20%
Freeman Aikael Mbowe 15%
Wengine wa ccm. 35%

Collective possibility
Lissu 0.85*0.3. =25.5%
Zitto. 0.85*0.2= 17%
Mbowe. 0.85*0.15=12.75%
Ccm. 0.15*0.35=55.25%

NB: Mbunge yoyote hawezi kuwa VP, mana VP haingii bungeni hivyo wananchi watakosa uwakilishi.

Kama umesoma HKL pita ivi, usikomenti
 
Forget it.

Simply watakwambia Katiba yetu hairuhusu serikali ya mseto.

Huyo mama akifanya hivyo itabidi ajitoe akili haswa, naamini hapo ndani ya chama chake tayari sasa hivi kuna vita ya chini chini inaendelea kupigania hiyo nafasi.
 
Nilitaman sanaa, Kwaajili ya Kuleta Nchi pamoja

Kuponya hali inayoendelea.

T.Lissu apewe umakamo.
Ni kitu ambacho sikitarajii..maana Makamu Rais anaweza kuwa Raisa katika mazingira Kama haya yaliyotokea..so CCM watakubali hilo..endapo baadaye Samia naye akiaga..!?
 
Back
Top Bottom