Kigezo ni uwezo lakini vipi linapokuja kwamba wapo wenye uwezo katika dini zote hizo mbili kubwa?

Kama kuna Wakristo wengi wenye uwezo na hawapo katika nafasi zote kubwa za juu kwanini uendelee kuwaweka Waislam ambao tayari wameshikilia nafasi zote za juu kwa bara na visiwani?
Uwezo kwangu ndio kila kitu. Hatuuishi uislamu wa mtu au ukristo wa mtu.

Mtu kama ana uwezo apewe tu
 
...kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.
Pale inapowezekana kuepukwa, kuna utaratibu flani (unwritten) kwamba Rais akiwa wa kutoka imani flani, makamu wake anakuwa wa imani nyingine. Unwritten though na sometime inaweza kuwa ngumu kuepukika (rejea Kikwete na Bilal)
 
Pale anapaswa kuwepo Mkristo, haiwezekani

-Rais Muislam
-Makamu wa Rais Muislam
-Waziri Mkuu Muislam
-Rais wa Zanzibar Muislam
-Makamu wa Rais Zanzibar Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi bara Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi zanzibar Muislam
-Mawaziri wote Zanzibar Waislam
-Mwanasheria Mkuu bara Muislam
-Mwanasheria Mkuu Zanzibar Muislam

Is this a secular state?

Its better awe fair.

Kuna kitu Mungu atawakumbusha huko mbeleni we tulia tu
 
Na kwa sifa hapo juu, watakaofaa katika nafasi hiyo ni maveteran wafuatao;
1. Mizengo K.P. Pinda(Mzee wa Asali)
2. Abdulrahman Kinana(Comrade)
3. Othman Rashid(OR)
4. Francis Kipilimba, Kp
5. Davis Mwamnyange(Generali)
6. Fredrick Sumaye(Mr. Zero)
7. Anna Makinda(Mama Mwenda)
8. Ombeni Sefue(Balozi)
9. Philemon Luhanjo(PL, kama ana nguvu)
10. Andrew Chenge( nyoka wa makengeza, mzee wa vijisenti)
11. William Lukuvi
12. Mathias Chikawe
13. George Mkuchika
14. Kasimu Majaliwa.
Mpangilio ni random. Haina maana yoyote kiuzito na kimapendeleo.
Okay
 
Back
Top Bottom