Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,436
- 91,281
Hongera sana Kaka! Tuko pamoja sanaUmejaribu? It works?
Hongera sana Kaka! Tuko pamoja sanaUmejaribu? It works?
Kama kwenye vistari vitatu vya JF hakuna bonyeza vidoti vitatu vya Browser utaona Add Shortcut maliza.Maxence Melo kwangu bado huduma haijaja
Inafanana na ya browser or website feature zake zoteIna tofauti gani na APP ambayo nimeinstall kabla?
Hata hiyo add Shortcut haipoKama kwenye vistari vitatu vya JF hakuna bonyeza vidoti vitatu vya Browser utaona Add Shortcut maliza.
Sio inafanan iyo ni JF Browser tu yasiku zoteInafanana na ya browser or website feature zake zote
ScreenshotHata hiyo add Shortcut haipo
Screenshot
Mkuu unatatizo la kutosoma NotificationMkuu Max ,nashukuru sana kwa features mpya!
Kwangu imefanya kazi
Japo nimeshazoea ile app ya play store ila najua una nia njema kuhamia huku!
Chini kabisa kwenye browser kuna Add inaelekeza kwenye group la Telegram.
Naomba kujua kama hyo add Siyo SCAM
Nimeweka attachment hapo chini
View attachment 1791304
Screenshot
Hapana mkuu App bado ipo Playstore na hata Appstore. Sema Hii imeongezwa kama screen page isaidie kwa watu ambao hawatembelei Maduka ya Google, pia hii inasaidia kwa Watu ambao simu zao hazisapoti Appstore kama Huawei.Utakuwa ni uamuzi wa "hovyo" sana kama mtaachana na app iliyopo google store..hii shortcut sio app na tuliozoea app hii sio user friend kwetu..
Maxence Melo
Hii Computer
Soma uzi wote kwanza ujue Mello alisema niniHapana mkuu App bado ipo Playstore na hata Appstore. Sema Hii imeongezwa kama screen page isaidie kwa watu ambao hawatembelei Maduka ya Google, pia hii inasaidia kwa Watu ambao simu zao hazisapoti Appstore kama Huawei.
Karibu
PcHii Computer
Nimesoma na nikawa mtu wa kwanza kureplySoma uzi wote kwanza ujue Mello alisema nini
Duu