Hivi mwanamke unaemfukuzia kukuletea zawadi siku yako ya kuzaliwa na huku wewe mwenyewe haujui kama ndo siku hiyo, kisha ukimuomba mzigo anazingua na hataki kusikia kitu kama hicho inamaana gani?
Kila ukijaribu kula mzigo kimasihara anachomoa, geto hatokei na hataki kusikia habari yoyote...
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote...
Habari zenu wanajamvi. Sijui ni mimi tu au wapo wenzangu ambao tangia waanze kuwa na mahusiano hawajawahi kununuliwa hata peremendi tu na wenza wao.
Mke wangu mimi ni house wife (though anajifundisha kazi za amali now) so simlaumu sana na yeye amewahi kuniambia anatamani kuninulia japo shati...
Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania alipata nafasi kutembelea Museum ya FIFA pale Zurich. Msanii Diamond ametua Uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European Tour.
Baada ya kuingia Museum ya FIFA amepewa zawadi ya kikombe kidogo pamoja na jezi yenye jina lake Platnumz no 9...
Ulishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama tu huruma inamuijia,Inatokea siku moja anakukumbusha,anakupa penzi hii Ni baada kukuonea huruma.je...
Historia inaonyesha mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya na Mombasa ilikuwa Tanganyika. Ila ukoo wa ufalme wa Uingereza ukapeana zawadi. Mlima ukaja Tanganyika na Bandari ya Mombasa ikaenda Kenya. La sivyo Kenya ingekuwa haina Bandari na Mlima Kilimanjaro na wachaga ungekuwa Kenya.
Nasema...
Je Kujikuna ni Zawadi Itolewayo na Ubongo?
Je Ni Kwanini Unahisi Raha na Adha Unapojikuna?
Salaam Wadau!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Unapohisi muwasho kwenye mwili wako ni dhahiri kuwa utatamani ukune (scratch) sehemu husika.
Hata wanyama wengine hufanya hivi pia...
Bwana mmoja mwenye ndevu nyeupe alifanya uvamizi wa benki siku mbili kabla ya Krismasi na kuzirusha juu kwa furaha na kuwatakia kheri ya siku kuu wapita njia, mashuhuda wameeleza.
Polisi wamethibitisha "mwanaume mzee wa kizungu" alivamia benki ya Academy mjini Colorado Springs, Marekani siku ya...
Habari zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo wangu nikitaka kumpa hautaki kabisa tatizo sijui liko wapi?
ila huyu kaka kunipenda ananipenda...
Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar.
Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu.
Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe...
Naamini muwazima wa afya, awali ya yote niwapongeze wote mliobahatika kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Hiyo ni haki yenu kwani vigezo na sifa za kupata mkopo umevitimiza. Pia poleni kwa wote ambao hamjapata mkopo, pia nanyi vingezo na sifa naamini mnavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.