Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Parabora

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
1,504
2,180
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote wanajua lazma tutaoana.

Nilikutana na huyu mrembo mwaka 2013, Yes ni zaidi ya mzuri..mrembo haswa na hata aliponiambia misimamo yake ya kutokumgusa kwanza ilibidi niheshimu maana kipindi hicho tulikuwa masomoni, nikawa nagonga nje japo kwa heshima sana asiiue pale ninapojisikia.

Sasa bwana mwaka 2017, tulirudi wote likizo na baada ya mda Mimi nikapanga kwenda Rwanda kutembea aliposikia na yeye akataka aungane na Mimi, kwa vile kwao walikuwa wananifahamu Wala hawakusita kumruhusu..na hapa ndio ikawa mara ya kwanza kushiriki nae ngono tukiwa Rwanda na hapa ndipo alipoanza kunikinai kabisa pamoja na uzuri wake.

Sijui Kama niko nyuma ya dunia hii wakuu lakini kwa Mimi mtu anaeitwa mke wangu sitegemei kuona ule upuuzi, niko selective sana.. Yaani ile namuandaa ili nimpige mambo nashangaa anaanza kunyonya Dushe, then anataka nimromance nilishindwa kwa kweli nikahisi huyu kashalamba madushe mengi, ile nataka kuchomeka ananiambia hapana nimnyonye papuchi yake kwanza..nikampiga jicho akatulia.

Na mambo mengine ambayo unaona kabisa haya ya kimalayamalaya, tangu niwe nae sijawahi hata kumromance nahisi kinyaa sana....Mimi Niko selective sana kwenye haya masuala ya mahusiano yaani nataka kila kiungo kifanye kazi yake na kiingie sehemu yake sahihi hapo tupigane style zote na si vinginevyo japo mapenzi ni zaidi ya uchafu lakini Mimi hapana aisee... hizi habari za kuchokoana chokoana na kusikochokonoleka Mimi sikuwezi...tangu kipindi hicho niko nae mpaka leo lakini sitarajii kumuoa japo kwa mawazo yake anaamini mimi ndio mume wake

Hapa Niko nje ya nchi na nikirudi huko nyumbani kwetu na kwao washajiandaa ili taratibu zingine za kuwa pamoja zifanyike, Nawaonea huruma sana maana hawajui nawaza nini, hawataamini kabisa nitakachokifanya...Nawapelekea jina jipya ambalo hata hawalijui na sitopoteza mda naoa haijalishi atakubalika au hakubaliki.. huyo wa kwao kwa Sasa siwezi hata kumromance.

Baba Mkwe hizo zawadi nazosikia unatangaza kuzitoa, subiri utampa mwingine.
 
Inaonekana huyu dada ni mpenda picha ngono. Hayo mambo atakuwa aliona huko porno,akataka kujaribisha ili usimwone yuko mshamba. Wazoefu huwa hawajionyeshi day 1. Usimwache,ila mweleze unachopenda. Kwa maelezo yako,yuko mkweli na anapenda ufurahi
 
Inaonekana huyu dada ni mpenda picha ngono. Hayo mambo atakuwa aliona huko porno,akataka kujaribisha ili usimwone yuko mshamba. Wazoefu huwa hawajionyeshi day 1. Usimwache,ila mweleze unachopenda. Kwa maelezo yako,yuko mkweli na anapenda ufurahi
Hata Mimi nafikiri hivi, tatzo nimeshapoteza hisia nae siwezi hata kumromance
 
Kwahiyo unaona sifa maandalizi yanaendelea lakini plan yako ni kumpiga chini? Kwanini usiwasiliane na Ndugu zako hizo taratibu zisitishwe?
Huoni kama ni bora kuumiza huyo binti kwa kumpiga chini mapema kuliko kuja kuiumiza familia nzima wameshafanya kila kitu ndio unakuja na jina la mtu meingine?
Hata uandishi wako ni wa kisifa sifa flani hivi kusikotumia ufahamu.

Kama huna mpango nae sitisha mapema hizo taratibu zinazoendelea mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta mtoto wa watu alijifunza you tube ili akufurahishe badala yake imekuwa kinyume chake! Kwanza niulize alikuwa bikra au sababu haswa ya kukunyima ilikuwa ni nini?
Hili swali lako hili, kwani wewe unatoaga Baada ya mda gani ukitongozwa?
 
Kwahiyo unaona sifa maandalizi yanaendelea lakini plan yako ni kumpiga chini? Kwanini usiwasiliane na Ndugu zako hizo taratibu zisitishwe?
Huoni kama ni bora kuumiza huyo binti kwa kumpiga chini mapema kuliko kuja kuiumiza familia nzima wameshafanya kila kitu ndio unakuja na jina la mtu meingine?
Hata uandishi wako ni wa kisifa sifa flani hivi kusikotumia ufahamu.

Kama huna mpango nae sitisha mapema hizo taratibu zinazoendelea mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu relax kwanza halafu urudi tuzungumze
 
Utapoteza heshima yote kwa huyo manzi yako mpaka wazazi wake na wako pia endapo utamuoa kweli kisa umewekewa zawadi. Its a trap to see if you're stupid enough to stoop that low.

Ni mwanaume mdhaifu pekee hupokea zawadi za nyumba na magari ukweni.
 
Back
Top Bottom