Zawadi za VPL msimu 2019/20, waliostahili ndio waliopewa?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,301
12,600
Binafsi ninawapongeza Vodacom, KCB, TFF, wachezaji na wadau wote walioandaa na waliopata zawadi za VPL kwa msimu wa 2019/20.

Lakini sio vibaya pia sisi wadau watazamaji, wasikilizaji na wafuatiliaji wa mpira wetu nchini hasa VPL kuzijadili zawadi na kuwajadili waliozipata.

Je, waliopewa zawadi ndio waliostahili kupewa kweli?
 
Kwenye kikosi bora naona jonas Gerald Mkude ayupo kwa performance yake nilitegemea awepo

Wote waliopata walistahili
 
Minziro alichokifanya na mbao japo mbao umeshuka kinastahili kuundiwa category ya aina yake.
 
Asa mkuu ile ni kazi bure.

Kashinda mechi kama saba mfululizo, alafu anatolewa playoff.... Ni kazi bure kabisa.
Tuzo aliyostahili aliipata kama sijakosea( kocha bora wa July).
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
 
Hahaha galasa la namba 10?
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
Unataka kusema kubebwa kuliendelea hadi kwenye zawadi?
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
Kuna kipindi alikaa benchi sababu ya kuumia hivyo kacheza mechi chache ukilinganisha na hao ulowataja.
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
Kazi kweli kweli, me mwenyewe nilishangaa
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
Bocco kacheza nusu msimu, wakati hao uliowataja wamecheza karibu msimu mzima.
Nadhani walizingatia hili...
Japo sihalalishi hiyo.
 
Is it justifiable?!!! Full of subjectivity, shameless people!!!
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
Huu ni ungese wa kiwango cha SGR, tifutifu wajiangalie.
 
Kwenye kikosi Bora Mhilu goli 13 asst 3, Peter Mapunda Goli 13 asst 1, Chirwa Goli 12 asst 5, Lusajo Goli 12 asst 4, Wazir Jnr Goli 12 asst 2 wote hawajachaguliwa amekwenda kuchaguliwa bocco mwenye Goli 9 asst 3. Uondio mpira wetu ulipofikia.
We umeangalia magoli hujaangalia amecheza mechi ngapi?
Afu kufunga goli nyingi haikupi kua wewe ulikua bora, Kwenye Wachezaji bora EPL Valde hayupo japo ni mfungaji bora. Mi nafikiri wanaangalia na jinsi timu inavyokuzunguka wewe
 
Mpira Ni magoli na forward Ni kuingiza magoli nothing less than this
 
Back
Top Bottom