Kayumba, Mshindi wa BSS 2015 aeleza ujanjaujanja wa zawadi yake. Mh. Mwakyembe msikalie kimya haya

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Niliwawahi andika miaka hii haya mashindano ni ya kitapeli

Wapo waliodhihaki

Nenda mtandao wa salehe jembe usikie mwenyewe mshindi wa enzi hizo Kayumba na zawadi alizopata.

1) Anasema wazazi walipewa mil 2 tu
2) Aliletewa gari ambalo alikuwa jipya nakuwambiwa utakuwa ukitumia
3) Alipelekwa kwenye kiwanja kina msingi tu na kuambiwa utakimalizia mwenyewe (Kumbuka mpaka leo anasema kiwanja kile hajapewa hati na anazungushwa kila anapoenda)
4) Haya mambo nilisema yana muda wake. Madam Rita amevuna alichopanda

Katika mahojiano kikana anasema alikaa na uchungu moyoni bila kuyasema sababu alikuwa bado anapambana kupata hati ya kile kiwanja.

Mji mtamu huu. Nyie nendeni mikoani tunabaki hapahapa sisi.

Kayumba 1.jpg
 
Mimi nimemsikia Etv( ya majay )kwenye kipindi na DJ kwachee,amekili kulipwa pesa yote tena aliwekewa kwenye bank account. "Nanukuu mimi siwaongelei washindi wengine Mimi pesa yangu yote nililipwa kwa kuwekewa Yote Bank kwenye Account yangu"
 
Mimi nimemsikia Etv( ya majay )kwenye kipindi na DJ kwachee,amekili kulipwa pesa yote tena aliwekewa kwenye bank account. "Nanukuu mimi siwaongelei washindi wengine Mimi pesa yangu yote nililipwa kwa kuwekewa Yote Bank kwenye Acvount yangu"

Funguahioweb salehejembe msikilize uelewe nilichoandika
 
Back
Top Bottom