Ni kweli unaweza kupewa penzi kwa kuonewa huruma au Kama zawadi?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,126
33,156
Ulishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama tu huruma inamuijia,Inatokea siku moja anakukumbusha,anakupa penzi hii Ni baada kukuonea huruma.je ulishawahi kukutana na hali hiyo?
Je ulishawahi kufanya Jambo zuri la kishujaa au la ushindi fulani,ukaifurahisha Jamii,akatokea Mrembo au Warembo kwa nyakati tofauti wakaonesha Nia ya kukuzawadia penzi?
Ukapewa penzi Kama zawadi.?
 
Hayo ndo mambo ya kula tunda kimasihara nenda kwenye uzi ule wa kula tunda kimasihara kaweke story yako watu tufaidi wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anakuwa amekupigania sana amejitoa kwelikweli bila kujali Hali yake amepoteza vingi tu ili mambo yako yaende na ameumia sana na si mpenzi wako

Hata ka huruma ka kumpa hauna ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndy mambo ya kulana kimasihara nisiyoyataka, Baadae anatamba yule demu nimemla kwa wali maharage na kabichi.

HAPANA, YAANI NO NO NO
 
Umenikumbusha kitu mkuu,
Niliwahi hadithiwa hii story na rafiki yangu sana,(Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina)..!!

Alikuwa na rafikiye, a real gold digger, kuna mkaka alikuwa anamtongoza hivyo ikawa ni mwendo wa vibomu, yaani vibomu hasa and that guy didn't even gave up on her nadhani alimpenda binti kiukweli, Alichokuwa anafanya binti ni kumkomoa that guy aache kumsumbua, but meeen' he didn't stop.!

Hajui hata mshkaji anafanya mishe gani, ni wanaonana tu mkaka wa watu kapendeza ile jioni ila mchana hakamatiki.!

Siku isiyo na jina anapita stand, anamuona yule mkaka anakimbizana na mabasi, yupo na vifurushi vyake anauza, kaloa jasho hatarii.!!

Binti, roho ilimuuma mno akajiona mkosaji sana, ikabidi amtunuku yule kaka sababu tu nafsi ilimsuta..!!

Hivyo hizo cases huwa zinatokea.!
 
Duuuuuhhh kqeli kazi ipo

Duuh miss Lee si mmejiona mlivyo hamna huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama tu huruma inamuijia,Inatokea siku moja anakukumbusha,anakupa penzi hii Ni baada kukuonea huruma.je ulishawahi kukutana na hali hiyo?
Je ulishawahi kufanya Jambo zuri la kishujaa au la ushindi fulani,ukaifurahisha Jamii,akatokea Mrembo au Warembo kwa nyakati tofauti wakaonesha Nia ya kukuzawadia penzi?
Ukapewa penzi Kama zawadi.?
Nimesoma heading tu, nikpata mantiki.

Sikuhiz zama zime haribika, ni tofauti sana. SEX ambayo ni kitu kikubwa sana rohon. Kinachukuliwa poa tu.

Sikuhiz unaweza pewa game sababu nyingi tu.

1. Zawadi ya ushindan, mmewekeana Bet za timu. Timu yako ikishnda unapewa game

2.Kuji mwambafy. Kuna binti unaweza msema yeye mvivu, au akasikia kuwa mabinti wa mtaa huu hawana kitu, basi atajilengesha kukuonyesha yumo.

3.Shobo na sababu zisizo na msingi. Unaweza kuta ukapewa game kisa unajua kucheza au kuongea vizuri, na huyo mtu utakuta Bwana wake.

4.Kiki. unawdza pewa game. Sababu ya mtu kutaka kiki. Kuwa nimetembea na fulani

Ujumla, PESA, FAME,UJINGA, NJAAA vinaweza kufanya ukapewa mchezo mchana kweupeeee.

Hata mangi kutoa sukari nusu au mkaaa,akapewa zawadi ya papuchi, now days hata buku mbili ,jelo. Unakula game. Ambayo ni MUUNGANIKO HATARI WA ROHONI.

nguvu ya anonymous
 
Mkuuu sahizi wauza nyanya wanafaidi sana mbunye mkuu.. yani ukiwa na nyanya mjini utazichata hadi uchoke
Nimesoma heading tu, nikpata mantiki.

Sikuhiz zama zime haribika, ni tofauti sana. SEX ambayo ni kitu kikubwa sana rohon. Kinachukuliwa poa tu.

Sikuhiz unaweza pewa game sababu nyingi tu.

1. Zawadi ya ushindan, mmewekeana Bet za timu. Timu yako ikishnda unapewa game

2.Kuji mwambafy. Kuna binti unaweza msema yeye mvivu, au akasikia kuwa mabinti wa mtaa huu hawana kitu, basi atajilengesha kukuonyesha yumo.

3.Shobo na sababu zisizo na msingi. Unaweza kuta ukapewa game kisa unajua kucheza au kuongea vizuri, na huyo mtu utakuta Bwana wake.

4.Kiki. unawdza pewa game. Sababu ya mtu kutaka kiki. Kuwa nimetembea na fulani

Ujumla, PESA, FAME,UJINGA, NJAAA vinaweza kufanya ukapewa mchezo mchana kweupeeee.

Hata mangi kutoa sukari nusu au mkaaa,akapewa zawadi ya papuchi, now days hata buku mbili ,jelo. Unakula game. Ambayo ni MUUNGANIKO HATARI WA ROHONI.

nguvu ya anonymous

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka sku1 nilikua sjaenda job, dem wangu alikua ameenda alivorud sasa siunajua lazma apike nini sasa alikua amechoka akanambia hiv

"babe please leo nmechoka sana sipik tule spaghetti na sausage na naomba wew ndo upike, then all suck ua di. Ck as malipo"

Hivyo yaan, so haya mambo yapo sana mjomba
 
Listen son, Achana na huo ujinga sijui huruma. Don't take your slice! The moment you give her the time of day and entertain her just proves you were the weak guy with no options she always thought you to be. It shows that you don't respect yourself and you're willing to eat leftovers after being pumped and dumped by the guys who she ranked first in her pecking order.

You guys need to stop this mentality that you're using the girl when you munch her. Sometimes, the girl is actually using you for validation and to reaffirm her sexual market value. Don't give her that! Just tell her you're not interested in having the leftovers and then ignore her. That shit will hurt her more than any pump and dump.

Pia usisahau, munching her would open you up to some serious risks like her getting pregnant or you catching an std. If you get her pregnant, you're tied to her for the rest of your life. Is that shit really worth a few minutes? Kama ulivyosema hapo juu she even disrespected you, to me mwanamke akionyesha any kind of disrespect hafai kwa lolote lile either fling or serious thing.
 
Back
Top Bottom