zanzibar

  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
  2. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Zanzibar

    Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar. 1. Mchirizi (Mfereji) 2. Umenifahamu? (Umenielewa) 3. Markiti (Sokoni). Edits, from posts in this thread: 4. Skuli (shule) 5. Chogo (kisogo) 6. Tungule (nyanya) 7. Ami (Rafiki) Tuendeleze na mengineyo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Zanzibar kujiletea maendeleo yaongezeka, sasa inajenga bandari kubwa ya kisasa. Hongera Rais Mwinyi na Maalim Seif!

    Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki. Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk. Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua chochote kuhusu Maisha ya utafutaji Zanzibar

    Wakuu, poleni na Majukumu, naomba kujua kuhusu maisha ya Zanzibar, kuna rafiki yangu wa kike ameenda Zanzibar leo hii kutafuta maisha na hajui pa kufikia, nimemkataza lakini hakunisikia. Naombeni mawazo yenu nini afanye huko niweze kumshauri huko aliko. Asanteni.
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar asema kuna haja ya kubadilisha sera ya Elimu ili iendane na mabadiliko yanayotokea

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuna haja ya sera ya elimu visiwani humo kuwa ya kisasa zaidi ili kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta hiyo. Dk Mwinyi amebainisha hayo leo alipokutana na wadau wa sekta ya elimu Mjini Unguja. “Baada ya kusikiliza maoni ya wadau...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

    Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kila Mwanaume mwenye Mwenza wake anayeishi Zanzibar nampa pole sana

    Kuna mwanamke mmoja ambaye yupo late 20's ninayemfahamu kwa miaka kama miwili hivi, ni mkristo na nilikua nikimuona ni mtu wa ibada sana, kwa vile tulikua na mazoea ya kawaida. Kuna siku akanitambulisha mchumba wake (fiancé) ambaye tayari ameshamvisha pete na wapo kwenye mipango ya ndoa. Huyo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi amtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, wasema uchaguzi umekwisha sasa kazi tu!

    Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja. Maalim Seif amesema uchaguzi umekwisha aliyepata kapata na aliyekosa amekosa cha muhimu ni watanzania kuungana pamoja...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: SUK ya 2010 - 2015 haikuwa na nia njema na raia wa Zanzibar. CCM walikubali ili kutimiza matakwa ya Kikatiba ila mioyo yao haikupenda

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar iliyoanza 2010 mpaka 2015 walifanya hivyo ili tu kutimiza matakwa ya kikatiba...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Zanzibar ni mkakati wa kuidumaza ACT Wazalendo isitanuke Tanzania Bara

    Zitto kanyang’anywa chama angali anakiona sasa maamuzi yote lazima yatoke Vuga sio Kijitonyama, badala ya Seif kuwa ceremonial chairman Zitto ndio amekuwa celemonial Party Leader. Wazanzibari hawana interest nyingine zaidi ya nchi yao, yote wanayofanya leo yakiwemo maridhiano ni kwa maslahi...
  11. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Rais Biden, kwa Afrika anza na Rais Magufuli na Mwinyi wa Zanzibar

    Salaam JF, Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji...
  12. Gavana

    JamiiForums Tanzania Tanganyika yaivamia Zanzibar

    NATAMANI KUFUKUWA MAKABURI - part X Maalim Salim Kombo Saleh (ZPPP) Mbunge wa Jimbo la Tumbe, Pemba katika serikali ya uhuru alikuwa waziri wa sheria na mambo ya ndani wa Zanzibar. Mwaka 1994 alinieleza kuwa siku ya tano baada ya mapinduzi walikabidhiwa kwa Mkuu wa Gereza la Dodoma...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, Husein na Seif watafanikiwa kuipapatuwa Zanzibar?

    Naona sasa wale wa visiwani hawana habari kabisa na Tanzania Bara yao yao yetu yao, inakuwaje sasa hawazungumzii masuala ya Muungano na badala yake wamemuweka Mheshimiwa Magufuli kiti moto na kutoka na azimio hadi sasa halijajulikana, walimfuatia hukohuko Chato na kumuweka kati. Kilichogusiwa...
  14. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Miradi Mikubwa ya Kimkakati ya JMT huko Zanzibar ni Ipi?

    Kwa kweli kama kuna kitu watu watakumbuka ni jinsi gani serikali ya Rais Magufuli imekuja na miradi kadha wa kadha ya kimkakati. Mingi ni ile ya maendeleo, lakini pia ipo ile ya ufufuaji vile vilivyokufa na kuchakaa... tumeona mara kwa mara viongozi wa serikali ya JMT wakinadi mafanikio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha wake za marafiki zangu wawili Joni wa Kanda ya Ziwa na Huseni wa Visiwani Zanzibar mmoja kuwa Mchangamfu na mwingine Mpweke?

    Na kinachonishangaza zaidi Joni ni mkubwa Kiumri na hata Kipesa kuliko Huseni ila cha Kushangaza ni Siku chache sana tu Huseni wa Visiwani Zanzibar kapanda Cheo cha Kusimamia Karafuu za Zanzibar huku akitanguliwa Siku nyingi na Joni ambaye ana Cheo cha Kusimamia Samaki zote za Kanda ya Ziwa ila...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

    Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana. Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  18. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?

    Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani? Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi? Nani katibu wake? Vikao vyake hufanyika mara ngapi kwa mwaka? Agenda zao huwa zipi? Hivi vyeo viwili...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hakuna watu walionyimwa dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi?

    Kesi nyingi za uhujumu uchumi Tanzania utasikia uchunguzi haujakamilika, na hii inachukua miaka kadhaa. Ila katika mazingira ya uchunguzi kuendelea mtu yuleyule unasikia ameshauriana na DPP au Mahakama na ameeelekzwa kulipa kiasi flani Cha fedha. Je, ukokotoaji wa kiasi hicho kinacholipwa...
Back
Top Bottom