Rais wa Zanzibar asema kuna haja ya kubadilisha sera ya Elimu ili iendane na mabadiliko yanayotokea

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,655
2,000
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuna haja ya sera ya elimu visiwani humo kuwa ya kisasa zaidi ili kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta hiyo.

Dk Mwinyi amebainisha hayo leo alipokutana na wadau wa sekta ya elimu Mjini Unguja.

“Baada ya kusikiliza maoni ya wadau nimebaini sekta ya elimu ina kasoro nyingi na kubwa kabisa ni suala zima la mitaala, siwezi kusema lolote katika hili kwakuwa wadau ndio nyinyi hivyo mkikubali tutakaa chini na kuzungumza ili tubadilishe mitaala na niwahakikishie serikali ipo tayari kufanya hivyo” amesema Dk Mwinyi.
 
SueIsmael

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
828
1,000
Najitahidi kutokuanza kumsifia Rais Mwinyi...Ila akiendelea na hili la kurekebisha mifumo - hasa ELIMU - na kushirikisha wadau na wataalam, kweli Zanzibar itafika mbali. Afrika tuna advantage ya kuleap-frog, tusirudie makosa ya mataifa mengine bali tujifunze na kwa kuangalia uhalisia wa mazingira yetu na fursa tulizonazo. Ajitahidi kutokuendeshwa na matukio, aangalie "the bigger picture", awe strategic and adaptive... Mola azidi kumjalia hekima, usikivu na afya njema.

NB: Natanguliza samahani kwa kuchanganya lugha.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
7,829

Mimi sioni aibu kusema kuwa mwinyi ni katika orodha ya viongozi wangu bora kabisa katika suala zima la kuongea vitu vyenye mantiki.

Katika suala la utendaji tumpe muda zaidi.
 
Sisyphus

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
2,101
2,000
Tanzania bara na Zanzibar wanatumia mitaala ya elimu tofauti kwanini wajaribiwe pamoja?
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,338
2,000
Najitahidi kutokuanza kumsifia Rais Mwinyi...Ila akiendelea na hili la kurekebisha mifumo - hasa ELIMU - na kushirikisha wadau na wataalam, kweli Zanzibar itafika mbali. Afrika tuna advantage ya kuleap-frog, tusirudie makosa ya mataifa mengine bali tujifunze na kwa kuangalia uhalisia wa mazingira yetu na fursa tulizonazo. Ajitahidi kutokuendeshwa na matukio, aangalie "the bigger picture", awe strategic and adaptive... Mola azidi kumjalia hekima, usikivu na afya njema.

NB: Natanguliza samahani kwa kuchanganya lugha.

NB ungeiweka kingereza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom