Zitto kanyang’anywa chama angali anakiona sasa maamuzi yote lazima yatoke Vuga sio Kijitonyama, badala ya Seif kuwa ceremonial chairman Zitto ndio amekuwa celemonial Party Leader.
Wazanzibari hawana interest nyingine zaidi ya nchi yao, yote wanayofanya leo yakiwemo maridhiano ni kwa maslahi yao siyo ya wananchi wa Mwandiga Kigoma.
Siku zijazo itakuwa vigumu sana kwa ACT kujitanua hasa huku bara, kama Zitto alidhani kumkaribisha Maalimu Seif ni kukijenga chama bara basi alikosea sana.
Ndugu Zitto na viongozi wa ACT mtawaaminisha vipi wananchi kuwa serikali imeshindwa kuleta maendeleo wakati nyie ni sehemu ya serikali?
Pamoja na kuwa kila chama kina malengo yake, lkn ki mikakati Zitto umebugi step pakubwa hukuagalia mbali, kuna siku utafukuzwa kama Lipumba.