Habari za wakati huu watu wa jamvi hili.
Mimi ni miongoni mwa waliofurahishwa sana na juhudi za Dr. Mwinyi kule zanzibar kwa kuweza vyema kuwaunganisha wazanzibari kwa kuunda umoja wa Kitaifa chini ya Almarhum Maalim Seif Sharif Hamad (Allah Amrehemu).
Jambo jengine zuri zaidi Dr. Mwinyi...
Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.
Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar.
Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa...
Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari 1963.Alizaliwa mwaka ambao Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa kisultan mwaka 1963 ,utawala ushirika...
Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni.
Chanzo: Swahili Times
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad.
Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, na vilevile baada ya kushauriana na...
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema jina walilompelekea Rais Hussein Mwinyi kwa ajili ya uteuzi wa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar limetokana na wosia aliouacha Maalim Seif mwenyewe.
Zitto Kabwe amesema mtu huyo anaenda kumsaidia sana Rais Mwinyi na pia atawaunganisha wana...
TUNASISITIZA HAKI KUTENDEKA KWA MASHEHE WA KIISLAMU WA UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR
Tarehe 27 Februari 2021, nilikuwa miongoni mwa viongozi waliokuwa wamealikwa na ACT Wazalendo kuhudhuria Dua ya kumuombea Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar aliyefariki hivi...
Hebu twende kikatiba zaidi tuone Dhana nzima ya uteuzi ,je ni ACT WAZALENDO au RAIS WA ZANZIBAR ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais?
Twende kikatiba zaidi, Ibara ya 39(1)(2)inasema.
39.(1) Kutakuwa na Makamo Wawili wa Rais ambao watajuilikanakama Makamo wa Kwanza wa Rais...
Ni kweli kuwa Zanzibar ni Tanzania lakini kuna utofauti kidogo kama ifuatavyo:
1. Zanzibar ni ndogo
2. Zanzibar ina watu wachache sana kuliko Bara, yaani ratio ya 1:50, yaani kila watanzania 50 mtu 1 ni Mzanzibar, hivyo kama akifa mzanzibar mmoja ni sawa na kufa watanganyika 50.
3. Zanzibar...
Hili ni uhakika, haiwezekani kueleza siasa za Zanzibar na mabadiliko ya kizazi kwa kizazi pasipo kuwa na kurasa nyingi za kufafanua na kuchambua uhusika wa Seif Sharif Hamad. Na huwezi kuitaja historia ya Zanzibar na nyakati zake bila jina la Seif.
Kwa miongo minne, Seif aliweza kujitengeneza...
Tume ya Utangazaji Zanzibar imekifungia kituo cha televisheni cha Tifu kwa muda wa siku saba baada ya kudaiwa kurusha vipindi vinavyokwenda kinyume na uombolezaji wa msiba wa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
Katibu Mtendaji wa tume hiyo, Omar Said akitoa taarifa...
Salam za rambirambi kwa Mpigania Demokrasia na mwasisi wa upinzani Zanzibar Ndg Maalim Seif.
Rais wa JMT ametangaza Maombolezo siku tatu na kwamba bendera itapepea nuzu mlingoti.
Rais wa Zanzibar ametangaza siku Saba za Maombolezo na bendera nusu mlingoti.
Je, siku za Maombolezo zipo kikatiba...
Zanzibar’s First Vice President Maalim Seif Sharif Hamad has died at the age of 77, less than a month after being hospitalized with COVID-19.
Zanzibar President Hussein Mwinyi made the announcement on Wednesday, further declaring seven days of national mourning.
Tanzania President John Pombe...
Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo.
Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo...
Nilikuwa nime-tunein to Clouds FM Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo.
Kuna bwana huko Zanzibar aliokota milioni 150 na akaona ni bora atangaze ili aliyezipoteza aje kufwata mzigo wake alikuwa anauliza tricky questions ili ampate aliyezipoteza kweli...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
Wiki jana ilikuwa ni sherehe za miaka 100 ya Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ukiangalia kiusahihi utaona kwamba hii ni miaka 100 ya Mahakama ya Tanzania Bara.
Hii ni kwa sababu Zanzibar wana mahakama yao tofauti kabisa na hii iliyotimiza miaka 100.
Nasikia Mahakama ya Zanzibar...
Salaam JF,
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi leo ametimiza siku 💯 tangu alipochaguliwa na Wazanzibar kuwa Rais wao, ukweli upo wazi kuwa Rais Mwinyi ameweza kufanya Mambo ya msingi na yenye tija kwa Wazanzibar na taifa lao kwa ujumla ndani ya kipindi hiki kifupi.
Rais Mwinyi ameweza...
Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mh Lela Mohamed Mussa amewataka wakuu wa Wilaya kuanzisha siku maalum kwa ajili ya kusafisha vivutio vya utalii.
Hayo ameyasema katika uzinduzi wa kampeni ya usafi kwa maendeleo ya utalii katika kisiwa cha Kwale Mkoa Mjini Magharibi siku hiyo maalum ya siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.