1. JOB TITLE: OFFICE ATTENDANT (1 position- Pemba)
Major roles and responsibilities
● Cleaning and maintain the sanitary of the premises which includes Offices and College along with surrounding environment. This goes along with ensuring the maximum hygiene of all office premises facility...
Ndugu Wana Jukwaa
Kuna maneno mengi yasioningia katika mizani ya akili yanayozungumzwa na watu hasa wenye asili ya Tanganyika kuhusu Zanzibar na Uzanzibari. Watu wamekuwa wakiunda historia ya zanzibar kutoka katika hisia na wivu wao binafsi. Historia ya kuunga unga vipande, historia isio na...
Akiwa visiwani Zanzibar Samia alihudhuria swala ya kumswalia Hayati mzee Karume ambaye ni mpigania uhuru na mwasisi wa Taifa la Zanzibar.
Mheshimiwa Rais Samia mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere ameelekea Ikulu ndogo ya Magogoni iliyopo Dar es Salaam...
Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA!!) pasi na kutotaka kujiongeza kwa kujua MUAFRIKA ni nani??? na MZANZIBARI ni nani...
Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ama ni nchi. Katiba lazima inyooshe kuhusu maswali haya maana ndiyo yatakayotumika...
Sote tunajua Mzanzibari ni mtu mwenye nafasi kubwa sana nchi nzima ya kupata ahueni ya maisha.
Tukianza kazi Wazanzibari walioelimika hata kidogo tu wakija kuomba kazi bara huwa wanapewa kipaumbele kikubwa kwasababu ya kuwa Wazanzibar.
Ukija hata jeshini huku wazanzibar huwa wanapewa upendeleo...
Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021.
Nini maoni yako.
#MitanoTena
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la Mzee Ruksa leo anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mcheshi na anapopata fursa, anawafundisha Watanzania matumizi ya Kiswahili Sanifu na kutoa ushauri juu ya umuhimu wa elimu na kuishi kwa amani na ushirikiano bila ubaguzi...
Mgombea uwakilishi jimbo la Pandani kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Prof; Omar Fakih Hamad, ameibuka mshindi baada ya kupata kura 2361 dhidi ya kura 1934 alizopata mgombea wa CCM kwenye uchaguzi mdogo katika Jimbo hilo.
Jimbo la Mpandani limefanya Uchaguzi wa Mwakilishi kufuatia kifo...
Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza...
Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi.
Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo...
Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar.
====
MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR
Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, ambapo shughuli ya kumuaga kitaifa ilifanyika jana Machi 22, 2021.
Mwili wa...
Kama tujuavyo ni kuwa hapo awali kamati ya mazishi ya marehemu Magufuli, hawakuwaweka katika orodha ya awali Zanzibar, miongoni ya miji ambayo wakazi wake watapata fursa ya kuaga mwili.
Kama tujuavyo ni kuwa katika ratiba ya awali wa kuaga mwili wa marehemu Magufuli, iliorodheshwa miji ambayo...
Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.
Maendeleo hayana vyama!
Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5) Makamo wa raisi, mama Samia, ndiye atakaye kuwa raisi wetu kwa kipindi chote kilichobakia kuelekea...
Kabla ya vyama vingi kuja Rais wa Zanzibar alikuwa moja kwa moja ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Vilipoanza vyama vingi ilibidi kubadili katiba tume ya Bomani (RIP) ikapendekeza kuwe na makamu wawili na wagombee pamoja uchaguzini na watoke chama kimoja.
Mapendekezo yakasema kwamba...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar. Pia katika uzinduzi huo alikuwepo Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation ndug. Waziri Kindamba
#RudiNyumbaniKumenoga
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Maendeleo hayana vyama!
Hii ni kwa mujibu wa ITV .
Taarifa zaidi zitawajia ....
UPDATE
Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hoteli kubwa na matokeo kupelekwa kwa mamlaka husika kwa njia ya elektroniki.
Hii inafuatia kuletwa kwa ripoti ya maabara ya elektroniki ya Covid-19 na Wizara ya Afya ya Zanzibar, Maendeleo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.