EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?
Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi?
Nani katibu wake?
Vikao vyake hufanyika mara ngapi kwa mwaka?
Agenda zao huwa zipi?
Hivi vyeo viwili havitenganiki yaani akiwa Rais anatekeleza mambo ya kitaifa akaitwa Rais na akiwa akitekeleza mambo ya Baraza akaitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kama ilivyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi.