Magazeti: Zanzibar yazidi kuneemeka, Tanzania bara yazidi kuwa Tanzagiza

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Ukiachilia mbali Zanzibar kushusha viwanja vyenye hadhi ha kidunia. Sasa serikali ya Zanzibar ina mpango wa kushusha Treni za Kisasa, TAXI za baharini, na Mabasi ya Umeme (Electric Rapid Transit Buses). Ukubwa wa nchi ya Zanzibar unaingia zaidi ya mara 10 kwenye ukubwa wa mkoa wa Morogoro, Zanzibar ni ndogo sana, nchi ikipangiliwa vizuri itakuwa bora zaidi kimaendeleo kwa sababu kiutekelezaji eneo la nchi ni rahisi kulimudu. Zanzibar kiukweli chini ya Rais mwinyi inaonesha kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Wazungu ukiwauliza unafahamu nchi ya Tanzania, wengi hawajui, ila ukiwauliza wanaifahamu Zanzibar wengi watakwambia ndio.

Wakati huo huo, Tanzania bara haina hata Project kubwa ya maana Tangu yule mzee wa Chato aende zake. Kiukweli yule Mwendazake alipiga Project kubwa kubwa tu ndani ya Miaka 5 tu, Bwawa la nyerere, Meli kubwa na ya Kisasa pale ziwa Victoria "MV Mwanza Hapa Kazi Tu", daraja la Magufuli Mwanza, Barabara, Serikali kuamia Dodoma na Kuijenga Dodoma kuwa ya Kisasa. Na mambo kadha wa kadha bila kusahau kupambana na watu wenye vyeti feki, Kuanzisha sera ya Elimu bure, kupambana na madawa ya kulevya na rushwa, na kufufua Tanzania ya Viwanda. Jambo lilipolekea kupewa Jina la Bulldozer. Na mwamba kapiga haya matukio ndani ya kipindi cha miaka 5 tu, vipi kama angedumu miaka 10. Wengi walisema Investors wanakimbia nchi eti kwa sababu sera za Magufuli sio rafiki kwao, lakini cha kushangaza tuliona maendeleo, ila hivi sasa tunaambiwa Investors wameongezeka na mambo kadha wa kadha, lakini kodi ndio zinazidi kuongezeka. Sasa kazi ya hao investors ni nini hapa nchini wakatu maendeleo hayaonekani na tozo zinazidi songa.

Hivi sasa nikikuuliza nitajie Project mpya ya maana iliyopo Tanzania bara, uwezi kutaja hata moja. Sana sana utataja alizoacha mwenda zake. Apumzike kwa Amani, chuma alikuwa chuma kweli, anakwambia mimi kwangu tajiri anafanywa chochote. Huu msemo wa ukiwa na cherehani mbili wewe tayari una kiwanda ulisaidia kuwapa moyo wapambanaji wadogo wadogo, machinga na mama ntilie. Akasema pia Baa zote zifungwe mpaka jioni 😂, walevi tukanuna ila hatukuwa na jinsi.

Sasa hivi nikitazama Tanzania, sioni project za maana, tofauti na Tozo tu.

Haya ni maoni yangu, natimiza wajibu wangu wa kikatiba wa Freedom of Expression bila kuvunja sheria za nchi.

View: https://www.instagram.com/p/C1ySctJIl9j/?igsh=cnd4YjNrMXdpejM1
 
Zanzibar wanachota pesa kutoka Tanganyika wanajenga ka inchi kao kadogo kisasa zaidi. Naomba saa100 aandae tena rais kutoka Zanzibar baada yake ili viongozi wetu wa kitanganyika akili ziwakae sawa.
 
Miradi aliyoacha JPM ilikuwa ni mikubwa sana isingewezekana Mama Kizimkazi akaanzisha mipya wakati iliyokuwepo haijakamilika walau nusu. Hatuna uwezo wa kuanzisha/kuendesha miradi mikubwa kwa pamoja. Vinginevyo angeiacha akaanzisha mipya kama JPM alivyofanya kwenye uwekezaji gesi ya Mtwara
 
Ukiachilia mbali Zanzibar kushusha viwanja vyenye hadhi ha kidunia. Sasa serikali ya Zanzibar ina mpango wa kushusha Treni za Kisasa, TAXI za baharini, na Mabasi ya Umeme (Electric Rapid Transit Buses). Ukubwa wa nchi ya Zanzibar unaingia zaidi ya mara 10 kwenye ukubwa wa mkoa wa Morogoro, Zanzibar ni ndogo sana, nchi ikipangiliwa vizuri itakuwa bora zaidi kimaendeleo kwa sababu kiutekelezaji eneo la nchi ni rahisi kulimudu. Zanzibar kiukweli chini ya Rais mwinyi inaonesha kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Wazungu ukiwauliza unafahamu nchi ya Tanzania, wengi hawajui, ila ukiwauliza wanaifahamu Zanzibar wengi watakwambia ndio.

Wakati huo huo, Tanzania bara haina hata Project kubwa ya maana Tangu yule mzee wa Chato aende zake. Kiukweli yule Mwendazake alipiga Project kubwa kubwa tu ndani ya Miaka 5 tu, Bwawa la nyerere, Meli kubwa na ya Kisasa pale ziwa Victoria "MV Mwanza Hapa Kazi Tu", daraja la Magufuli Mwanza, Barabara, Serikali kuamia Dodoma na Kuijenga Dodoma kuwa ya Kisasa. Na mambo kadha wa kadha bila kusahau kupambana na watu wenye vyeti feki, Kuanzisha sera ya Elimu bure, kupambana na madawa ya kulevya na rushwa, na kufufua Tanzania ya Viwanda. Jambo lilipolekea kupewa Jina la Bulldozer. Na mwamba kapiga haya matukio ndani ya kipindi cha miaka 5 tu, vipi kama angedumu miaka 10. Wengi walisema Investors wanakimbia nchi eti kwa sababu sera za Magufuli sio rafiki kwao, lakini cha kushangaza tuliona maendeleo, ila hivi sasa tunaambiwa Investors wameongezeka na mambo kadha wa kadha, lakini kodi ndio zinazidi kuongezeka. Sasa kazi ya hao investors ni nini hapa nchini wakatu maendeleo hayaonekani na tozo zinazidi songa.

Hivi sasa nikikuuliza nitajie Project mpya ya maana iliyopo Tanzania bara, uwezi kutaja hata moja. Sana sana utataja alizoacha mwenda zake. Apumzike kwa Amani, chuma alikuwa chuma kweli, anakwambia mimi kwangu tajiri anafanywa chochote. Huu msemo wa ukiwa na cherehani mbili wewe tayari una kiwanda ulisaidia kuwapa moyo wapambanaji wadogo wadogo, machinga na mama ntilie. Akasema pia Baa zote zifungwe mpaka jioni 😂, walevi tukanuna ila hatukuwa na jinsi.

Sasa hivi nikitazama Tanzania, sioni project za maana, tofauti na Tozo tu.

Haya ni maoni yangu, natimiza wajibu wangu wa kikatiba wa Freedom of Expression bila kuvunja sheria za nchi.

View: https://www.instagram.com/p/C1ySctJIl9j/?igsh=cnd4YjNrMXdpejM1

Fisadi na dikteta tu mpenda sifa na muuaji labda hayakukuta maovu ya huyo mwendazake na kwa hakika bora angejifia mapema zaidi ya hapo
 
Mbona tukiwauliza nini kiliwakumba hamtaki kusema...

Kama mtu anafanya ufisadi na analeta project za maana na maendeleo ya kutukuka katika nchi yake. Basi huyo fisadi alindwe kwa gharama zote.

Hawa mafisadi wa sasa wanalipotiwa na CAG ujawaona, au ulikuwa na personal issues na Magufuli either kwa sababu wewe ni fisadi, au cheti feki au mla rushwa. Kama panga la Magufuli limekukuta kazima ulikuwa ni muovu 😂
 
Siwezi kuelezea yaliyonikuta ila huyo marehemu muone tu hivyo hivyo akicheka cheka na "Wanyonge" ambao ndio nyinyi mlipandikizwa sifa ya kujiita hivyo pia ufisadi wake ulikuja kuonekana baada ya yeye kutoweka kumbuka tukio lililotokea bandarini
 
Ukiachilia mbali Zanzibar kushusha viwanja vyenye hadhi ha kidunia. Sasa serikali ya Zanzibar ina mpango wa kushusha Treni za Kisasa, TAXI za baharini, na Mabasi ya Umeme (Electric Rapid Transit Buses). Ukubwa wa nchi ya Zanzibar unaingia zaidi ya mara 10 kwenye ukubwa wa mkoa wa Morogoro, Zanzibar ni ndogo sana, nchi ikipangiliwa vizuri itakuwa bora zaidi kimaendeleo kwa sababu kiutekelezaji eneo la nchi ni rahisi kulimudu. Zanzibar kiukweli chini ya Rais mwinyi inaonesha kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Wazungu ukiwauliza unafahamu nchi ya Tanzania, wengi hawajui, ila ukiwauliza wanaifahamu Zanzibar wengi watakwambia ndio.

Wakati huo huo, Tanzania bara haina hata Project kubwa ya maana Tangu yule mzee wa Chato aende zake. Kiukweli yule Mwendazake alipiga Project kubwa kubwa tu ndani ya Miaka 5 tu, Bwawa la nyerere, Meli kubwa na ya Kisasa pale ziwa Victoria "MV Mwanza Hapa Kazi Tu", daraja la Magufuli Mwanza, Barabara, Serikali kuamia Dodoma na Kuijenga Dodoma kuwa ya Kisasa. Na mambo kadha wa kadha bila kusahau kupambana na watu wenye vyeti feki, Kuanzisha sera ya Elimu bure, kupambana na madawa ya kulevya na rushwa, na kufufua Tanzania ya Viwanda. Jambo lilipolekea kupewa Jina la Bulldozer. Na mwamba kapiga haya matukio ndani ya kipindi cha miaka 5 tu, vipi kama angedumu miaka 10. Wengi walisema Investors wanakimbia nchi eti kwa sababu sera za Magufuli sio rafiki kwao, lakini cha kushangaza tuliona maendeleo, ila hivi sasa tunaambiwa Investors wameongezeka na mambo kadha wa kadha, lakini kodi ndio zinazidi kuongezeka. Sasa kazi ya hao investors ni nini hapa nchini wakatu maendeleo hayaonekani na tozo zinazidi songa.

Hivi sasa nikikuuliza nitajie Project mpya ya maana iliyopo Tanzania bara, uwezi kutaja hata moja. Sana sana utataja alizoacha mwenda zake. Apumzike kwa Amani, chuma alikuwa chuma kweli, anakwambia mimi kwangu tajiri anafanywa chochote. Huu msemo wa ukiwa na cherehani mbili wewe tayari una kiwanda ulisaidia kuwapa moyo wapambanaji wadogo wadogo, machinga na mama ntilie. Akasema pia Baa zote zifungwe mpaka jioni 😂, walevi tukanuna ila hatukuwa na jinsi.

Sasa hivi nikitazama Tanzania, sioni project za maana, tofauti na Tozo tu.

Haya ni maoni yangu, natimiza wajibu wangu wa kikatiba wa Freedom of Expression bila kuvunja sheria za nchi.

View: https://www.instagram.com/p/C1ySctJIl9j/?igsh=cnd4YjNrMXdpejM1

Tanzania bara ni nini? Mimi natambua Tanganyika.
 
Back
Top Bottom