zanzibar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mjane wa aliyekuwa Jaji wa Zanzibar, Marehemu Mkusa Isack Sepetu anatafutwa baada ya kuharibu nyumba ya shirika la nyumba Zanzibar

    Wakuu naomba tujadili suala hili kwa kina. Huyu Mjane alikua anaishi kwenye nyumba ya serekali. Baada ya mumewe kufariki alipewa notisi ya kuhama. Alifanya jitihada kubwa ya kuiomba Serikali imfikirie na imuachie akae katika nyumba hio ambayo inaonekana walitumia gharama kubwa kuiremba na...
  2. JamiiForums Tanzania Unless the international community acts soon, the ruling CCM will steal the October elections. Zanzibar will descend into crisis

    For generations, Tanzania has been a beacon of peace and stability in a region characterised by civil unrest. It has stood out as a wise kid among more restless neighbours. In 1979, for instance, the town of Moshi hosted critical Ugandan talks that led to elections in 1980. In 1993 and then...
  3. JamiiForums Tanzania Maalim Seif achukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo

    Maalim Seif akabidhiwa fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha ACT Wazalendo kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Kakabidhiwa fomu hizo na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu katika Ofisi Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo iliopo Vuga, Zanzibar. Maalim Seif...
  4. JamiiForums Tanzania Bara hatuwezi mweka Rais Zanzibar ambaye hatumfahamu vizuri. Tutamweka Mwinyi

    Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo. Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

    Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa Profesa Makame Mbarawa awe Isles next CCM Flag bearer kwa mwaka 2020 lakini eti kwa Kumpoza Mzee Mwinyi...
  6. JamiiForums Tanzania KAMATI Maalum ya CCM imependekeza Majina ya Wagombea 5 wa Urais Zanzibar

    Kamati maalumu ya CCM imemaliza mkutano wake huko Zanzibar kwa kupitia majina yote wanachama waliochukua fomu. Tayari majina matano yamepatikana ambayo yatawasilishwa kwenye Kamati Kuu ya CCM itakayoketi wiki kesho pale Dodoma. ===== KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amemsimamisha naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib

    TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa CUF- Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, kwa kutumia Mamlaka ya Kikatiba, amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib katika kutekeleza Agizo la Baraza Kuu la kuondoa Mapungufu na Kuimarisha Kamati Tendaji. Nafasi ya Naibu...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili yajifungia kupitia mafaili wataka urais Zanzibar

    Hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa ratiba za chama hicho. Kamati hiyo ina jukumu la kupitia fomu ya kila mgombea kabla Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM upande wa Zanzibar haijakaa vikao vyake leo vitakavyohitimishwa kesho chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Fitina Adui wa Umoja

    ZANZIBAR: Fitna Adui wa Masikilizano na Umoja Kutoka kwa Ibrahim Noor, Kwenda kwa: Walter Bogoya, Generali Ulimwengu, Mohamed Said J Mihangwa, Jarugum, Juma Mwapachu, Mtwangi, P Karugendo, Azavel Waitama, Issa Shivji, Chambi Chachage, Nizar Visram, Na Kwa Kila Linaemkhusu Kote...
  10. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kunaanza kufuka moshi

    Urais Zanzibar 2020: Makundi yanavyohaha kuzuia mabadiliko! 1 July 2020 Oktoba mwaka huu wapiga kura wa Zanzibari tutamchagua Rais mpya, akiwa ni Rais wa nane tangu Mapinduzi Matukufu ya mwaka 1964. Uchaguzi wa Rais Zanzibar mwaka huu pengine utaingia katika rekodi ya namna yake kwani kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Hussen Mwinyi: Tumaini linalorejea Zanzibar

    DKT HUSSEN MWINYI TUMAINI LINALOREJEA ZANZIBAR Na, Deogratias Mutungi Nianze makala haya kwa kusema Zanzibar na Wazanzibar kwa ujumla wake awamu hii wanaweza kupata kiongozi aliye bora zaidi na mwenye maono ya pekee katika ukombozi wa Mzanzibar mwenyewe dhana hii inajengwa kutokana na...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Majimbo manne ya uchaguzi yafutwa na kubakiza Majimbo 50

    Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18. Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA teteeni nafasi yenu ya KUB na ACT Wazalendo watoe Makamu wa Rais Zanzibar. Nafasi ya Rais CCM haipingiki

    Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya KUB kwa sababu bado hamjawa na uwezo wa kutoa Rais wa JMT. Kwa sasa Rais Magufuli hapingiki kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa atapita Zanzibar kwa zaidi ya 80%

    Wakuu baada ya Mwalim Seif kutangaza nia ya kuwania Urais Zanzibar, ni dhahiri shahiri Profesa Mbarawa atapita kwa kishindo kikubwa! Prof amezidi kuipaisha nyota yake katika utendaji wenye mafanikio makubwa kwa Wizara alizosimamia zenye kuhudumia Watanzania zaidi ya 58+ Million! Kwa Zanzibar...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakati umefika Maalim Seif agombee Urais wa JMT siyo Zanzibar

    habari ndugu zangu wana JamiiForums. Nionavyo Mimi Maalim Seif ajaribu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu hizi 1: Amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio hivyo ajaribu na JMT 2: Maalim Seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Maudline Cyrus Castico achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais

    WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto, Maudline Cyrus Castico amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amekuwa ni mgombea mwanamke wa tano kuchukua fomu hiyo, pia ni wa 32 kwa ujumla wa idadi ya watu waliochukua fomu kugombea urais...
  17. JamiiForums Tanzania Akili za Wachukua Fomu Kuwania Urais Kisiwani Zanzibar kutokea Vyama vyao mbalimbali wanazijua Wenyewe!

    Kuna Mmoja ambaye ni Mwanamke akitokea Chama Cha Mapinduzi kaulizwa na Waandishi wa Habari ni kwanini nae kaamua Kujitosa katika Watu 31 waliochukua Fomu jibu alilolitoa ni kwamba Kajitokeza tu kwakuwa kaona hakuna Uwiano wa Kijinsia. Mwingine nae kutokea Chama cha AFP Yeye kahojiwa kasema...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar 2020: CCM itayaepuka makosa haya manne ya kimkakati?

    Oktoba mwaka huu wa 2020 Zanzibar inaingia katika Uchaguzi Mkuu wa Wawakilishi, Wabunge na Rais. Vyama viwili vinatarajiwa kuwa na nguvu kubwa katika uchaguzi huu, kwa maana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na chama cha ACT Wazalendo. Katika kila chaguzi Jumuiya ya Kimataifa imekuwa ikiinyoshea...
  19. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

    Wote mnakaribishwa .
  20. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho. Said aliyechukua fomu katika ofisi za chama hicho zilizoko Mwera, amesema iwapo atapata ridhaa hiyo atazingatia suala la amani na utulivu sambamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…