CCM wajipamga kumzuia Maalim seif kugombea Zanzibar

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
CCM Ni hatari Sana Sasa kupeleka mswada Baraza la wawakilishi kumzuia Maalim seif kugombea URAIS Zanzibar.

Hi ni hatari tunawaomba CCM asilia wajitokeze kukemea

Tweet

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
@zittokabwe
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa
@ACTwazalendo
kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg.
@omarshaaban80
juzi alikazia maneno ya Maalim
@SeifSharifHamad
CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi.
 
Maalim Seif anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!

Alipowakataza wajumbe wa baraza la Mapinduzi kwa tiketi ya CUF kuingia bungeni hakujua kuwa anajipiga risasi miguuni?

Upumbavu ni kipaji na kwa mantiki hii, atavuna alichopanda!

You reap what you sow!
 
Mkuu hata kama ulikuwa hujazaliwa,soma hata Hisitoria,waZanzibar wanajitambua kabla hata ya Uhuru wao/mapinduzi,hata asipogombea Maalim Seif ,wapo kina Seif wengi sana,hivyo huwezi kuwabadili mioyo wa Zanzibar,wachezeeni na kuwadanganya waTanganyika na kofia na fulana.
 
Unahisi wangeingia wangefanya nn??

Wakoloni weusi watapata tabu sana zanzibar.
 
Mkuu hata kama ulikuwa hujazaliwa,soma hata Hisitoria,waZanzibar wanajitambua kabla hata ya Uhuru wao/mapinduzi,hata asipogombea Maalim Seif ,wapo kina Seif wengi sana,hivyo huwezi kuwabadili mioyo wa Zanzibar,wachezeeni na kuwadanganya waTanganyika na kofia na fulana.
Hivi mnajikutaga Nani nyie!!! Mbona ni wagugumiaji tu kama wengine,mngejitambua mngekuwa hapo mlipo kweli? Be serious please. Ni kweli wanaishi na uchungu mwingi mioyoni ila zaidi ya hilo hawana ujasiri. Kama Maalim wangeshampa huo uraisi zamani na angeshamaliza mihula yake hata minne na kustaafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damu ya wanzibari mliomwaga mchangani tangu ujio wa vyama vingi unadiriki kusema hawana ujasiri? We learn there is more than one way to skin a cat.
 
Sheria ya vyama vya siasa inamzuia kugombea .Mtu akihama Chama anatakiwa kukaa miaka miwili nje ndio agombee ubunge au uraisi au udiwani.Yeye kahama just juzi tu
 
Hivi mnajikutaga Nani nyie!!! Mbona ni wagugumiaji tu kama wengine,mngejitambua mngekuwa hapo mlipo kweli? Be serious please. Ni kweli wanaishi na uchungu mwingi mioyoni ila zaidi ya hilo hawana ujasiri. Kama Maalim wangeshampa huo uraisi zamani na angeshamaliza mihula yake hata minne na kustaafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mkoloni Tanganyika aliyejivika koti la muungano na kujifanya yeye ndiye Tanganyika.andika vizuri ueleweke,au usijekuta nabishana na katoto ka Division 0
 
Maalim Seif anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!

Alipowakataza wajumbe wa baraza la Mapinduzi kwa tiketi ya CUF kuingia bungeni hakujua kuwa anajipiga risasi miguuni?

Upumbavu ni kipaji na kwa mantiki hii, atavuna alichopanda!

You reap what you sow!
Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi ni members of Cabinet kwa wenzetu zanzibar nadhani ulikusudia wajumbe wa baraza la wawakilishi
 
Kama Bunge litapitisha ni sawa tu. Hata Donald Trump alishinda vita vya kuondolewa kwenye Senate licha ya ushahidi kuwa dhahiri!
 
CCM Ni hatari Sana Sasa kupeleka mswada Baraza la wawakilishi kumzuia Maalim seif kugombea URAIS Zanzibar.

Hi ni hatari tunawaomba CCM asilia wajitokeze kukemea

Tweet

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
@zittokabwe
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa
@ACTwazalendo
kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg.
@omarshaaban80
juzi alikazia maneno ya Maalim
@SeifSharifHamad
CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi.
FB_IMG_1581246624794.jpg
 
Back
Top Bottom