Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Masauni anakuwa mwanachama wa 16 wa chama hicho kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
Waziri wa Kilimo, Mali Asili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri amefika kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar.
Mmanga anakuwa mgombea wa 18 kuchukua nafasi hiyo kupitia CCM.
ADAM SHAFI KATIMIZA MIAKA 80: KALAMU YA SHAFI KATIKA KUIELEZA ZANZIBAR
Nilikuwa nimeanza kukisoma kitabu ‘’Haini,’’ cha Shafi Adam Shafi na haikunichukua muda kutambua kuwa mikononi mwangu nina kitabu ambacho ni ‘’masterpiece,’’ yaani kitabu kilichosheheni ujuzi wa hali ya juu sana katika...
Mohamed Ayoub
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu umma wa Watanzania kupitia Mkutano huu kuwa jumla ya Wanachama 3, wamejitokeza kutia nia kuwania uteuzi wa kupeperusha bendera, kugombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu utakao fanyika...
Zanzibar mwaka 1200
HISTORIA YA NENO ZANZIBAR:Ukweli ni kwamba kila kilichopo hapa duniani kina historia yake. Na ifahamike kuwa kabla ya kuja kwa wageni katika bara la Afrika, kila kitu kIlikuwa na jina lake. Na majina mengi yaliyokuwepo na mengine bado yalikuwa na huhusiano wa karibu sana na...
Swali linajieleza. Nani CAG wa Zanzibar?
Mbona ripoti zake hazisikiki. Je, hakuna ufisadi wa kulipua huko Zanzibar?
Kama huyu CAG wa Bara Ndugu Kichere ndiye CAG wa Zanzibar, mbona hatumsikii akiitaja Zanzibar katika ripoti zake?
Raisi wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza rasmi kufunguwa skuli zote nchini pamoja na shughuli za kijamii kuanzia Juni 29 baada ya kupunguwa kwa kasi ya maradhi ya covid-19 Nchini .
Akizungumza katika hutuba ya kulivunja baraza la wawakilishi la...
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM.
Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni.
Maoni yangu:
Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
Wadau,
Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya Urais katika visiwa vya Zanzibar.
Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au kudhoofika? Je, hatma yake ni shwari au sharii? Yajayo yanfurahisha.
CCM oyee
===
---
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kuwa kama chama cha CUF wanadai kuwa ofisi zao zilizopo visiwani Zanzibar, zimechukuliwa na chama hicho, basi wapeleke malalamiko yao Mahakamani na siyo kwenye vyombo vya habari, na kutaja tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa watia nia.
Hayo...
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi (Oktoba).
☝PICHA: Prof. Makame Mbarawa kushoto na Dr. Hussein Mwinyi kulia.
Profesa Mbarawa...
Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Ni mgombea wa 12 kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar
Waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Makame Mbarawa amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar.
Career Highlights
Professor Makame Mbarawa has been a Member of Parliament since 2010 and currently is the Minister for Water...
Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question.
Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi.
Watoto wa...
Tunayo mambo mengi tu ya Muungano lakini suala la Uraisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siyo mojawapo.
Hivi sasa Chama cha Mapinduzi kiko busy kutafuta Mgombea Uraisi wa Zanzibar, katika vitu ambavyo ni makosa ni kuwahusisha Watanganyika katika mchakato wa kumtafuta mtu ambaye atakuwa...
Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume
Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum. Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma kufanya hivyi kwa muda mrefu lakini msukumo zaidi uliniingia jana tulipokutana Kisiwandui.
Nimekufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.