Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,300
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,300 2,000
Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza.

Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu Mwalimu.

Kulikoni chama kikuu cha Upinzani?

Maendeleo hayana vyama!
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
Kwahiyo 2020 hamuombi kura Zanzibar?!
Unaweza kuwa Rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya CCM. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za CCM, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema.

Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.
 
Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
11,492
Points
2,000

Bome-e

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
11,492 2,000
Unaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya ccm. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za ccm, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema. Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.
Tuko kwenye mchakato wa kumrudishia mashamba!Pia tunaangalia uwezekano wa kumuachia mkwe wa Lowassa!!!!
 
nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Messages
1,861
Points
2,000

nditolo

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2011
1,861 2,000
Unaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya ccm. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za ccm, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema. Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.
Lowassa wamtoe gerezani yule mkwewe
Sumaye arudishiwe mashamba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,390,268
Members 528,139
Posts 34,047,882
Top