zanzibar

  1. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Unafiki na ubinafsi wa Watunga sheria wetu Zanzibar, Wawakilishi kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar

    Wafanyakazi wa sekta binafsi upande wa Zanzibar, mioyo yetu inatuuma sana, kwa sababu ya Mfuko wa hifadhi ya zanzibar ZSSF, Mfuko huu namna ambavyo Wawakilishi wa wananchi na watunga sheria wetu walipitisha sheria kandamizi na za kiuonevu, mfuko hauna fao la kujitoa kwa mwanachama wa sekta...
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Ufunguzi wa kampeni Pemba, Septemba 20

    Mwenyekiti wa CUF pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba , kesho septemba 20 ataongoza uzinduzi wa kampeni za CUF, visiwani Zanzibar. CUF: KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI Katika mkutano wa Kampeni uliofanyika Chakechake Pemba, Mwenyekiti wa CUF...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaanikwa Zanzibar -Wakuu wa Jeshi, polisi na vyombo vingine vya usalama kuweni nayo makini Itawazamisha

    Kwa sasa sio siri hakuna mpango wowote wa CCM kwa upande wa Zanzibar usio julikana kuhusiana na mipango ya kuchezea daftari la wapiga kura. Mitandanoni kumejaa ushahidi uliowazi na wa kuaminika kabisa kuwa waajiriwa wa vyombo husika hapo juu wanapangwa kutumiwa ili kuiletea ushindi CCM,mambo...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

    Salaam, Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini! Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu. Kwa mujibu wa...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: TAMWA yasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu

    Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kinasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji ambacho kimezuka hivi karibuni cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu. Wakati nchi inaendeleza juhudi za kupambana kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kubakwa, kulawiti...
  6. ADC Party

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bi Queen Cuthbert Sendiga Mgombea urais wa Tanzania kupitia ADC, azindua Kampeni Zanzibar, Wavuvi na Wakulima wa Karafuu kuneemeka

    Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kampeni, 2020 Zanzibar. Tunamtaka Dkt. Mwinyi aje hapa uwanjani

    Naam hiki ni kipindi mujarabu sana. Kampeni zinaendelea kwa kasi kote Bara na Zanzibar. Leo Tunamwita Dkt. Mwinyi ama timu yake aje hapa ama waje uwanjani. Tunahitaji tujibiwe baadhi ya masuali yetu muhimu kuhusu Mwelekeo wa sera za CCM na msimamo wa Dkt Mwinyi. Dkt Kule Zanzibar unaitwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yasiyosemwa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Vs ACT-Wazalendo - Zanzibar

    Hapo siku ya Jumamosi ya 12 Septemba, 2020, CCM ilifungua kampeni zake Zanzibar na siku ya pili yake yaani Jumapili ya tarehe 13 Septemba, 2020 ACT-Wazalendo nayo ilifunguwa kampeni Zanzibar. Kuna baadhi ya mambo hayakusemwa au kupatiwa ufafanuzi. Timu yetu ya kampeni ilipiga kambi huko...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tanzania Bara inaiminya Zanzibar

  11. S

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Hussein Mwinyi kugombea Urais Zanzibar ni upi? Wajumbe tuelewesheni

    Kuna hoja kubwa ambayo imeivunja CCM miguu na mikono kiasi ya kuwa hawawezi kusimama wala kutembea. Dkt. Hussein Mwinyi hana sifa za kugombea Urais Zanzibar na kama haitoshi walio ndani ya innercore wanasema hakushinda kura za wajumbe wa CCM Zanzibar kiasi ya wasimamizi kuondoka Zanzibar bila...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Lissu kutamka hataki Muungano kwamgharimu Zanzibar uzinduzi wa kampeni ya urais, Waanzibar hawajamtaja hata jina tu

    Lisu akiwa Zanzibar alitamka wazi kuwa haitaki muungano. Sasa leo siku ya uzinduzi wa kampeni ya Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif hawajamtaja kabisa Tundu Lissu. Sababu wao wanatafuta Rais wa Zanzibar sio wa muungano Nikiwa Zanzibar, Wazanzibari wanasema walimshangaa Lissu aliposema...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya...
  14. Jile79

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dr. Shein miaka 10 iliyopita, nitaifanya Zanzibar iwe kama Dubai. Mwaka huu Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya

    Dr Shein alitoa hii ahadi miaka 10 iliyopita.. Sasa mimi nawauliza wa Zanzibar, Je hali ikoje hapo Zanzibar?🤣🤣 Baada ya kumsaidia Shein kubadilisha Zanzibar, Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya.... Jamani🤔🤔
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

    Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi. UPDATES: Zanzibar 2020 - Maalim...
  16. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ni Mandela mpya wa Visiwa vya Zanzibar

    DK. HUSSEIN MWINYI NI MANDELA MPYA WA VISIWA VYA ZANZIBAR Deogratias Mutungi Siasa imara ni zao la ustawi wa amani na maendeleo ya watu, Siasa ni chemichemi na kiungo cha utaifa wa mtu na mtu, Siasa mbovu ni chanzo cha matatizo na mifarakano inayo hatarisha utu na uhai wa binadamu aidha bila...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya Uchaguzi October 28, 2020.
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kwa kifupi sana, nadhani baada ya Tundu Lissukuona trend ya kampeni za Mh. Magufuli: Dodoma, Tobora, Shinyanga, Simiyu, Mara, na baadaye mapokezi yake kule Mwanza, wanamwanza ndiyo walivunja rekondi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 TBC ni waungwana sana leo wameripoti mkutano wa kampeni wa CHADEMA kule Zanzibar

    Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo. Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja. Hongereni TBC...
  20. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
Back
Top Bottom