Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Viongozi wa CCM Tanganyika walipomchagua Hassan Mwinyi ili aje kuwa Rais wa Zanzibar, miongoni mwa sifa waliziompa ni mtu mpole na mkimya. Lakini hebu tujiulize sisi Wazanzibari huu upole wake utatusaidia nini!? Na huu ukimya wake wa kusema mengine na akayatenda mengine, tutanufaika nini?
Yeye...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
Nilijua tu hakuna kitu pale tamasha la kuwaburudisha wananchi lilikuwa ovyo sana ukiangalia kwa makini waliohudhuria ni wachache sio matarajio ,kiasi ya kubadilisha mada na kuliita tamasha la nyimbo za uchaguzi na huku mgeni wa heshima kuambia amehudhuria kwa sapraizi,wanadanganyana wenyewe kwa...
Vyama vyote na wagombea wote wa Urais katika uchaguzi wa mwaka huu wanatoka bara. Nafasi tuliyopewa kwa upande wa Z'bar ni ‘mugombea mwenza’.
Je, ni kweli kwamba Wazanzibari hatustahili kushika nafasi ya urais wa Tanzania? Haya ndo makosa ya kikatiba. Z’bar tuna nafasi ya rais wetu na hakuna...
Live : Shughuli nzima ya Kampeni ya Tundu Lissu leo Zanzibar
Source : swahili villa
Mapokezi ya Tundu Lissu alipowasili airport Zanzibar
Updates:
LISSU AKIZUNGUMZIA KUMUUNGA MKONO MAALIM SEIF UCHAGUZI WA ZANZIBAR
Tundu Lissu : Uchaguzi huu ni muhimu kwa taifa la Zanzibar lazima maamuzi...
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)
Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa kisheria wa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
Inasemwa kwamba...
Kwa asiyekuwa mweledi, Bwana Humphrey Polepole ni mpigadebe mzuri, ni mpambaji mjuzi na dalali anayeweza kumuuzia mtu jaa [jalala] kwa jina la kasri ya mtindo wa Mediterranean. Wazanzibari tumemsikia katibu huyo wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anavyonadi kwamba wanakusudia...
Mada inahusika.
Wakati akitaja majina ya wateule wa nafasi ya kugombea uwakilishi kwa Zanzibar, Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Polepole alisikika akitumia neno Mzee yule akimlenga Maalim Seif eti kuacha kuwataja viongozi wao na kufika hatua ya kusema ni onyo la mwisho na vyenginevyo...
Vyama vya siasa vinatumia utaratibu gani kupata wagombea Zamzibar? Je, Ni kupitia kamati kuu za vyama au mabaraza au wana utaratibu wao huko Zanzibar?
Je, utaratibu wa wagombea wa Baraza la Wawakilishi na ugombea wa Ubunge wa Muungano upo sawa?
Kama yanatoka huku bara, uwakilishi katika...
Mheshimiwa Dkt. Shein:
Nakusalimia kwa salamu ya Amani, Amani ya ALLAH iwe nawe
Barua hii ni kutoka kwa mwananchi na naanza kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma.
Usikubali damu ya Wazanzibari imwagike chini ya uangalizi wako. Unafahamu vizuri historia ya nchi yako, harakati za watu...
Habarini wanajukwaa
Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini.
Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
NEC isipomuegua Tundu Lissu, ni go-ahead ya kuipoteza CCM Zanzibar. Je, muungano utasalimika?
Na, Robert Heriel
Jambo kubwa linaloendelea katika vichwa vya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa ni pamoja na Tundu Lisu kupenya NEC. Hofu kubwa ipo miongoni mwa wafuasi wa Mgombea huyo wa CHADEMA...
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?
Huko mbona hakwenda kuziba barabara na matarumbeta? Kwa ratiba yake leo alipaswa kuwa Pwani na Kesho Zanzibar kahepa sio?
Kesho tukimwona...
Nimeona zoezi la kupitisha majina ya wagombea ujumbe wa baraza la wawakilishi kule Zanzibar limesogezwa mbele kwa sababu ratiba za NEC na ZEC ni tofauti.
Swali: Je, hao wawakilishi watapitishwa na NEC ya Zanzibar pekee?
Maendeleo hayana vyama!
Namkumbusha tu kwamba katika mikoa kumi ya kusaka urais walau miwili iwe ni ya Zanzibar.
Unajua sifa zinalevya anaweza kujikuta muda umekwisha bado yuko Tanganyika wanakomshangilia.
Niishie hapo!
Maendeleo hayana vyama.
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Tangu kuasisiwa kwake mwaka 1964, mauungano wa Tanganyika na Zanzibar umeonekana wazi kugubikwa na ujanja ujanja mwingi.
Ni jambo lililo wazi kabisa kuwa waasisi wa muungano walikua na malengo yasiyofanana, mwalimu Nyerere alidhamiria kuwepo na muungano kamili chini ya serikali moja huku mzee...
Habari wadau,
Kama ijulikanavyo, Zanzibar waislam ni 99% ya watu wote. Ni nchi yenye idadi ya watu inayokaribia 2M kwa sasa. Kikawaida kwa waislam, wao huwa ni waislam kabla ya mengine yote yaani kama ni utaifa basi wao ni waislam kabla kuwa Wazanzibari, kama ni mambo ya mipira , basi wao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.