Vijana kutoka Zanzibar wanapendelewa ajira ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wawapo JKT

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Habari wakuu!

Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka bara na wasipewe kipaumbele kana kwamba ni walemavu au special group.

Washindanishwe kwa usawa wakati wa usaili na atakayeshinda aajiriwe.

Suala lingine: JKU wanapotoa nafasi za kujitolea basi wasisite kuchukua vijana kutoka Tanzania bara. Sina kumbukumbu sahihi kama vijana wa bara wanaandikishwa JKU.

ASANTENI.

Pamoja tuijenge Tanzania yetu
 
Back
Top Bottom