Habari JF Siasa,
Humu ndani kumekuwa na maoni au chapuo mbalimbali juu ya wagombea Urais Zanzibar. Kuna mmoja wetu humu jukwaani amekuwa wazi kwa kuwapa chapuo Dr Hussein Mwinyi na Prof Makame Mbarawa.
Naomba nami niseme ama kutoa maoni yangu kutoka moyoni Kama walivyofanya wengine.
Kwanza...
Bendera ya Tanganyika
Kabla ya Uchaguzi wa Mwaka 2015, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, kilieleza nia yake ya kutaka kuachiwa mamlaka ya kumchagua mgombea Urais wa Visiwa hivyo, badala ya utaratibu wa sasa unaoshirikisha wenzao wa Tanzania Bara.
Pamoja na hatua hiyo, chama hicho pia...
Shaame Simai Mcha ambaye ni Mwandishi wa Habari, ameingia katika mbio za Urais wa Zanzibar kwa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.
Kada wa CCM, Idd hamad Idd amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
-
Idd Hamad anakuwa mwanachama wa 28 wa chama hicho kuchukua fomu hiyo ambapo tayari Wanawake 3 na Wanaume 24 wameshachukua
Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM.
Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1
CCM ni baba wa demokrasia
Maendeleo hayana vyama!
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Khamis Mussa Omar amejitosa kwenye mbio za Urais Zanzibar 2020 na kuchukua fomu kuomba ridhaa ya CCM. Khamis Mussa ndiye mshika funguo za hazina ya visiwa hivi, sehemu nyeti ambayo ili ukae lazima ama kuaminiwa ama kuwa sehemu ya ulaji...
Mengi yamesemwa kuhusu nia ya Profesa Makame Mbarawa kugombea Urais Zanzibar 2020. Wapo waloandika makala zenye uwiano bora, wapo walomponda na kusema hana nafasi lakini pia wapo walomsifia. Makala hii inachambua pande mbili za mjadala na kumpa msomaji ama uwanja mpana wa kuwa na hitimisho lake...
Ambari Haji khamis ni wa 1 kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama Cha NCCR Mageuzi kugombea nafasi ya urais Zanzibar.
Ambari Haji Khamis ni Makamo Mwenyekiti Tanzania Zanzibar Chama Cha NCCR Mageuzi amesema endapo chama kitampa ridhaa ya kuwa mgombea na hatimae kushinda urais Zanzibar...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo
------
Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasna Attai Masoud amekuwa mwanamke wa pili kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar.
Hasna anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 25 visiwani humo
CURRICULUM VITAE.
Personal Particulars
Surname...
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM
Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu hizo za Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020...
Wakuu kwema.
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar...
Mara nyingi nimesema sana humu JF kwamba kuna wakati nazishangaa sana kauli za wanasiasa wetu zinazotolewa kama vile hawana uwezo wa kufikiri. Sasa hili la Bashiru, Katibu Mkuu wa CCM kupiga kelele mbele ya jumuiya kwamba haelewi kwa nini hadi wakati huo wanachama 12 wajitokeze kugombea uraisi...
Sio ajabu kesho kumuona mtoto wa Dr. Sheni nae akichukua fomu ya kuomba kuwa Rais wa Zanzibar Kama vile Urais Ni haki kamili ya kurithi.
Ukishakuwa na akina"Jecha" Zanzibar na Dodoma kila kitu kinawezekana.
Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar.
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...
Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?
Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!!
#YNWA
Muda unakwenda kwa kasi sana. Tutashuhudia mengi pia.
Kwa muda wa miaka 4 na ushei, kuna mambo ambayo hayasemwi hadharani ndani ya CCM hasa Zanzibar. Kwa ufupi wa maneno CCM Zanzibar wana fundo rohoni, wamehifadhi mengi kuhusu mwenendo wa chama chini ya ndugu Mwenyekiti Magufuli.
Hicho...
Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar ni mwanajeshi ambaye alikwenda kupigana vita Uganda yeye ni mwana CCM tokea 1978 alianzia Migombani wakati akiwa jeshini na anaona anahitaji kuleta maendeo Zanzibar .
Mgombea Namba 15: Dk Khalid Salum Mohammed aliyekuwa waziri wa fedha Zanzibar Leo wamejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui kuchukia fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar
Muwakilishi wa Jimbo la Mtoni, Mh: Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) nae amejitokeza kuchukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombania Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Bhaa anafikisha idadi ya Wagombea 22 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kugombania Urais wa Zanzibar akiwa yeye ni miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.