Hii dunia ni ngumu sana. Kwamba IDF inataka tuonyeshwe wanachotaka wao?
Hii sasa si ndiyo ile ya mambo zetu na VPN na wale waheshimiwa wa pande za kwetu? Au zile mambo zetu na jamiiforums.co.tz badala ya jamiiforums.com?
Kwamba IDF kaona mahandaki ya HAMAS hospitalini, ila tuonyeshwe tu vile...