Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

MIMARANO

New Member
Jan 18, 2024
3
0
Habarini za majukumu wana JF,

Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho kimagumashi na kupokelewa kituo cha kazi kimpya, sasa kimbembe kilianzia pale kwenye mfumo mpya wa kujisajili watumishi yaani PEPMIS:

1. TAARIFA ZAKE ZOTE ZINAONESHA BADO YUPO KILE KITUO CHA KAZI CHA ZAMANI BAADA YA KUJISAJILI KWENYE MFUMO

2. SUPERVISORS WOTE KWENYE MFUMO WANASOMEKA WALE WA KITUO CHA ZAMANI TU.

Sasa alichofanya baada ya kujisajili ni kumuweka supervisor wa kituo cha zamani na kumpigia simu ili amko-comfirm lakini yule mkuu wa shule alikataa na kusema kule alishama na hawezi kum-supervise mtu ambae hayupo katika shule yake.

Akajaribu kuwasiliana na jamaa aliofanya nao mchakato mwanzo, wao wakamjibu kuwa walishahamishwa kitengo kwaiyo hawana cha kumsaidia. sasa hajui cha kufanya akili imestack, ana mwaka sasa tangu amehamia huo mkoa mpya.

Please karibuni kwa ushauri nini afanye.
 
Tamisemi sasa hivi wanaendelea na zoezi la uhakiki wa taarifa za watumishi ikujumuisha na hamisho zilizofanyika huko nyuma
So itategemea maauzi watakayotoa baada ya kumalizika zoezi hilo
1 kuhamisha taarifa zake kituo kipya
2 kurudi kituo cha zamani
 
Habarini za majukumu wana JF,

Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho kimagumashi na kupokelewa kituo cha kazi kimpya, sasa kimbembe kilianzia pale kwenye mfumo mpya wa kujisajili watumishi yaani PEPMIS:

1. TAARIFA ZAKE ZOTE ZINAONESHA BADO YUPO KILE KITUO CHA KAZI CHA ZAMANI BAADA YA KUJISAJILI KWENYE MFUMO

2. SUPERVISORS WOTE KWENYE MFUMO WANASOMEKA WALE WA KITUO CHA ZAMANI TU.

Sasa alichofanya baada ya kujisajili ni kumuweka supervisor wa kituo cha zamani na kumpigia simu ili amko-comfirm lakini yule mkuu wa shule alikataa na kusema kule alishama na hawezi kum-supervise mtu ambae hayupo katika shule yake.

Akajaribu kuwasiliana na jamaa aliofanya nao mchakato mwanzo, wao wakamjibu kuwa walishahamishwa kitengo kwaiyo hawana cha kumsaidia. sasa hajui cha kufanya akili imestack, ana mwaka sasa tangu amehamia huo mkoa mpya.

Please karibuni kwa ushauri nini afanye.

Pole sana acha janja janja rudi kituo chako cha kazi.
 
Back
Top Bottom