Culture Me: Mrembo wa Jamiiforums mwenye akili zake

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
4,695
10,222
Anaandika BICHWA KOMWE:-

Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana.

Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya turufu. Anashinda asubuhi na mapema.

Sijui kwanini lile shindano la mrembo wa Jamiiforums hakupewa huyu bibie mwenye maakili mengi kisha akapewa ajuza mwenye itikadi za kigaidi? Hili nalo mkalitizame.

Mrembo wangu Culture Me Karibu sana Jamiiforums baada ya kupotea kwa muda mrefu.

Naamini makanjanja wa humu walikuchosha ukaamua uchukue likizo fupi huku ukilea ndoa yako baby!

Karibu sana. Mwaaah!
 
Nasikia zamani ali kuwa mtaalamu wa kusaga na kukoboa. !!.

FB_IMG_17062250478310690.jpg
 
Anaandika BICHWA KOMWE:-

Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana.

Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya turufu. Anashinda asubuhi na mapema.

Sijui kwanini lile shindano la mrembo wa Jamiiforums hakupewa huyu bibie mwenye maakili mengi kisha akapewa ajuza mwenye itikadi za kigaidi? Hili nalo mkalitizame.

Mrembo wangu Culture Me Karibu sana Jamiiforums baada ya kupotea kwa muda mrefu.

Naamini makanjanja wa humu walikuchosha ukaamua uchukue likizo fupi huku ukilea ndoa yako baby!

Karibu sana. Mwaaah!
Unahamu ya kuliwa na mdoli wewe.
Kazalishe demu ujue
 
Umenichekesha sana, hizo sifa zote zangu mimi, lol

Ahsante kwa kunikaribisha baby, hua nachungulia na kutoka, mods wa jf hawanipendi kichizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom