Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yy alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mm nilikuwa naanza first year degree ualimu. Inshort tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa Jana baada ya a kuendelea kuonesha drama hii ni sms yangu nimeyomtumia Leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawah kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu Ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawah kuwa na hisia na we thus why kipnd chote cha mahusiano sikutaka ngono na ww.

Kubali tu yaishe mkuu. Ela imeliwa, mzigo hukupata hata yeye analijua hilo.
Ungechapa lapa kimya kimya yani ukakata tu mawasiliano. No call no sms yakaisha hvyo.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yy alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mm nilikuwa naanza first year degree ualimu. Inshort tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa Jana baada ya a kuendelea kuonesha drama hii ni sms yangu nimeyomtumia Leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawah kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu Ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawah kuwa na hisia na we thus why kipnd chote cha mahusiano sikutaka ngono na ww.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,
Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Hahahaha
Akijiua shauri yako

Watakuja watetezi wa kausha damu kukunanga. Usiseme haukuambiwa😃😃
 
Back
Top Bottom