Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

Mtewele isaya

Member
Jan 3, 2024
5
5
Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika.

Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya ujenzi naweza kuwa balozi wao. Kwa mawasiliano 0719003163
 
Back
Top Bottom