Habarini za mchana wakuu,
Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo;
1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na...
Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana.
Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye anatunyanyasa na kutufanya wote tuonekane ndula tu utopolo? Huyu bwana mdogo hajaifahamu yanga.
kuna watu...
MAMBO NA VIJAMBO VYA WACHEZAJI WA YANGA
Kuna mambo mengi sana yanayoendelea ndani ya Club ya Yanga sasa ila yanachukuliwa juu juu tu au kuelezwa sio kwa ufasaha.
Moja Leo Eng. Hersi ameongea na Kaimu Katibu wa Yanga ametoa barua vyote zimesema wamesaini mkataba na Morrison 20/03/20 na...
" Lakini ukweli lazima usemwe kwa sasa tuna pambana kukaa juu ya Namungo na kwenye FA tu habari za ligi na nafasi ya pili zili komea jumapili, " Anton Nugaz.
Na kwa Kuwakumbusheni tu ili UTOPOLO FC msisahau Mnyama Mnyamani ( Simba Sports Club ) nikishinda tu Kesho dhidi ya Mchovu Mbeya City...
Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata.
Ilifikia...
Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0.
Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni.
Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua.
Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo:
1.MZUNGUKO elfu 5000
2.VIP B elfu...
Tulidanganywa hapa na Mhamasishaji wao na Msemaji wao Nugaz pamoja nae Bumbuli kuwa Kiungo Mshambuliaji wao wanayemtukuza kuliko hata Mtume Mohammed na Yesu Kristo ( Kiimani ) aitwae Bernard Morisson Raia wa nchini Ghana kuwa amesinya ( ameshasaini ) Mkataba mwingine wa kuendelea Kuitumikia na...
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye...
=AZVe3IMrRn9NqmqhAlSTx8d70rshwEZgJf9X-44nKyE3aNlNQsQOrC7zBNgD22qTKiLHiCylG5IwlR25TVybWYX9_qphdPjP1n3cPMWoWRaI5oULasItlOe1z3poYGWcctpXgQqzSDcsNwbcOgZI-sO6sMV_lZ0Dz6kg91rgr_yCEg&__tn__=-UC%2CP-R']VIWANJANI LEO
"Sisi kazi yetu kubwa ni kuhakikisha klabu yetu inaweza kusimama kwa miguu yake miwili...
" Katika hili nikiwa kama Kocha wa Makipa wa Klabu ya Yanga niseme tu ukweli kwa jinsi Ratiba hii ilivyo hasa Kwetu Sisi Yanga hatutoweza kuwa na Maandalizi ya kutosha ya kutuwezesha Kubeba ama Ubingwa wa VPL au hata ule wa ASFC japo tutajitahidi Kupambana ila tusidanganyane Matumaini ni madogo...
Kama Mabosi wa GSM wakiweza Kuongea vyema na Marefarii wa Kibongo na hivi wengi sasa wana Njaa kutokana na CORONA hii basi Yanga SC yetu itashinda Mechi zetu zote zilizobaki na Kuiduwaza Timu nisiyoipenda kabisa duniani ya Simba SC. Tuwaombe akina GSM, La Liga na Klabu ya Sevilla waje watusaidie...
Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.
Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.