Kweli nimeamin Wanachama, mashabiki na wapenzi wa Timu ya Yanga linapokuja swala la Timu ya Yanga wote wanakuwa na akili sawa!!

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!!

Imagine mwandishi eti anahoji mbona Morrison alikubali kwenye audio clip badala ya kuhoji Mkataba ni OG au Fake! Imagine mtu mwenye akili timamu anakwenda kujazana kwenye ofisi za TFF kusubiri maamuzi wakati issue kama hiyo, katika mazingira yale yale imetokea kwa Tdhishibi lakini wamekaa kimya!
 
Umewadegrade wapasavyo

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom