Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,360
- 11,514
Miaka ya nyuma tunanua Yusuph Manji alikuwa anawanunua sana waandishi wa habari waandike kuhusiana na yeye na Yanga. Na moja ya magazeti ambayo yalitumika sana ni MWANASPOTI.
Gazeti hili limeendelea sana kuandika habari za kishabiki,zisizo na weledi kwa kuangalia sana jinsi ambavyo wataipendeza Yanga kuliko uhalisia. Hebu jioneeni wenyewe taarifa za namna hii ktk gazeti. Ni bora tungejua tu kuwa ni gezeti la yanga basi.