Mashabiki wengi wa Yanga hatuna elimu na si binadamu wa kawaida

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Kocha Luc Eymael kuna jambo lilimfanya atuone sisi ni kama Manyani au Mbwa. Aliona tunapiga kelele tu na hatuna elimu, yaani ni vilaza.

Nmeshangaa tunaposhangilia team karibia yote kupigwa chini na kuanza kuokoteza okoteza wachezaji wakati tulipaswa kusajili wachezaji wachache ili kuimalisha sehemu dhaifu.

Morrison ameshatukashifu sana na kuonesha dharau ya kiwango cha juu, bado tunamng'ang'ania na kumuacha Molinga.

Ditram nchimbi msimu mzima ana bao 5 katika hizo 3 alitufunga sisi wenyewe hivyo kwetu katusaidia bao 2 tu kwa nusu msimu. Huyo anabaki anaondolewa mwenye mabao zaidi ya 10.

Tunalazimisha kuona tumesajili kama vile team haikuwepo kabisa. Kwahiyo tunaanza upya wakati tulipaswa kuboresha mapungufu. Huu ndo ukosefu wa elimu ambao kocha aliusema.

Simba wanajua wanachofanya. Wana wachezaji wakongwe wenye nidhamu na wameamua kurekebisha makosa siyo kuondoa wachezaji kumi kwa mpigo.

SISI YANGA SIYO BINADAMU NI MANYANI NA MAMBWA KOKO. BINADAMU WA KAWAIDA HUFIKIRI NA KUJIKOSOA. SISI HATUTAKI KUJIKOSOA TUNAJISHANGILIA HATA KWA UJINGA. HUO NI UNYANI NA U MBWA.
 
Natamani msimu uje mapema ili tuone kinachojili ,maana kuna vitu huwa hata sivielewi, unawezaje kumuacha mtu kama Shishimbi mtu mwenye uzoefu kwenye gamu zote ziwe za Ligi au kimataifa ukamsajili Zawadi Mauya?
Hivi unamjua Zawadi au unaongea tuu? Huyu nikiungo bora japokuwa hakuimbwa sana,Yanga kwa muda mrefu imekuwa ikistrugle kumtafuta kiungo mkabaj ambae ndie kiunganish cha Tim katikati.

Nafikiri kwa uchezaj wake na utulivu wake utaisaidia Yanga.Pia itasaidia kumuondolea Feisal mzigo ambao alikuwa anabebeshwa wakati siwake. Pia usisahau Shishimbi mwenyewe karudi Yanga kuomba mkataba mpya
 
Hivi unamjua Zawadi au unaongea tuu? Huyu nikiungo bora japokuwa hakuimbwa sana, Yanga kwa muda mrefu imekuwa ikistrugle kumtafuta kiungo mkabaj ambae ndie kiunganish cha Tim katikati. Nafikir kwa uchezaj wake na utulivu wake utaisaidia Yanga. Pia itasaidia kumuondolea Feisal mzigo ambao alikuwa anabebeshwa wakati siwake.Pia usisahau Shishimbi mwenyewe karudi Yanga kuomba mkataba mpya
Kuna mambo ambayo huyafahamu. Tshishimbi, Molinga Sibomana km ingekuwa kuijenga team wangebak ila UNYANI ni shida.
 
Hu
Hivi unamjua Zawadi au unaongea tuu? Huyu nikiungo bora japokuwa hakuimbwa sana,Yanga kwa muda mrefu imekuwa ikistrugle kumtafuta kiungo mkabaj ambae ndie kiunganish cha Tim katikati. Nafikiri kwa uchezaj wake na utulivu wake utaisaidia Yanga.Pia itasaidia kumuondolea Feisal mzigo ambao alikuwa anabebeshwa wakati siwake. Pia usisahau Shishimbi mwenyewe karudi Yanga kuomba mkataba mpya
Huyu si ndio alifungiwa kwa kumchezea Ajibu mchezo bao si wa kiungwana au zile tatu na mbeleko ya asfc na hasira za kumkosa Uwesu zinakusumbua
 
Kuna mambo ambayo huyafahamu. Tshishimbi, Molinga Sibomana km ingekuwa kuijenga team wangebak ila UNYANI ni shida.
Bora akiwa anawakaba kina nani wakati Ajibu alimshindwa ,kuna kitu hakipo sawa pale Utopolo
 
Luc Eymael hakukosea kusema kuna Wanayanga ni Manyani na Mambwa. Wewe ndo mmojawao ambaye ni Nyani na mbwa. Sisi wengine tulionewa tu sababu ya Vilaza kama nyie. Linyani Jinga.

Hatuna shabiki Mbumbumbu kama wewe naona unajaribu kuficha mkia wako, Walah Rage hakukosea nanado mtang'oa Viti maana G imeanza kuwapa kiwewe.
 
Afadhali Yako Umeukubali Ukweli! Japo Cc
Wanalunyac
Taifa Kubwa
Mnyama Mkali Mwituni
Mfalme Wa Jingle
Mwana Kulitaka Mwana Kulipata
Wakimataifa
Bingwa Mteule Miaka 10 Ijayo
Wekundu Wa Msimbazi
Simba Sports Club
Timu Inayo Sakata Kambumbu Kwa Viwango Vilivyothibitishwa Nashirikisho La Soccer Duniani Fifa,
Hata Wewe Unajua Hili,
Sevilla Pia Washirika Wenu Wanajua,

ATunapenda Tuwe Naushindani Kwenye Ligi, Sasa Kama Uunatimua Nusu Ya Kikosi Then Unaanza Upya Huo C Uuumbwaaa
Uchimpanzee
Ugorlilas
Umonkeys

Hongera Kwakujikubali Na Haliyako.
 
Nikisikia yanga akili inaenda ccm.....yaani siwapendi sana
 
Mtani wangu Shadeeya Una lolote la kusema??? Poleni Sana!
Kocha Luc Eymael kuna jambo lilimfanya atuone sisi ni kama Manyani au Mbwa. Aliona tunapiga kelele tu na hatuna elimu, yaani ni vilaza.

Nmeshangaa tunaposhangilia team karibia yote kupigwa chini na kuanza kuokoteza okoteza wachezaji wakati tulipaswa kusajili wachezaji wachache ili kuimalisha sehemu dhaifu.

Morrison ameshatukashifu sana na kuonesha dharau ya kiwango cha juu, bado tunamng'ang'ania na kumuacha Molinga.

Ditram nchimbi msimu mzima ana bao 5 katika hizo 3 alitufunga sisi wenyewe hivyo kwetu katusaidia bao 2 tu kwa nusu msimu. Huyo anabaki anaondolewa mwenye mabao zaidi ya 10.

Tunalazimisha kuona tumesajili kama vile team haikuwepo kabisa. Kwahiyo tunaanza upya wakati tulipaswa kuboresha mapungufu. Huu ndo ukosefu wa elimu ambao kocha aliusema.

Simba wanajua wanachofanya. Wana wachezaji wakongwe wenye nidhamu na wameamua kurekebisha makosa siyo kuondoa wachezaji kumi kwa mpigo.

SISI YANGA SIYO BINADAMU NI MANYANI NA MAMBWA KOKO. BINADAMU WA KAWAIDA HUFIKIRI NA KUJIKOSOA. SISI HATUTAKI KUJIKOSOA TUNAJISHANGILIA HATA KWA UJINGA. HUO NI UNYANI NA U MBWA.
 
Afadhali Yako Umeukubali Ukweli! Japo Cc
Wanalunyac
Taifa Kubwa
Mnyama Mkali Mwituni
Mfalme Wa Jingle
Mwana Kulitaka Mwana Kulipata
Wakimataifa
Bingwa Mteule Miaka 10 Ijayo
Wekundu Wa Msimbazi
Simba Sports Club
Timu Inayo Sakata Kambumbu Kwa Viwango Vilivyothibitishwa Nashirikisho La Soccer Duniani Fifa,
Hata Wewe Unajua Hili,
Sevilla Pia Washirika Wenu Wanajua,

ATunapenda Tuwe Naushindani Kwenye Ligi, Sasa Kama Uunatimua Nusu Ya Kikosi Then Unaanza Upya Huo C Uuumbwaaa
Uchimpanzee
Ugorlilas
Umonkeys

Hongera Kwakujikubali Na Haliyako.
Tako moko fc.
 
Back
Top Bottom