yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga wameitwa kesho TFF watawakilishwa na Senzo stay tuned

    BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE TUNAOMBA WANANCHI WAPENZI WA YAMGA MTULIE NA BAADA YA MAZUNGUMZO. MTAJULISHWA KINACHOENDELEA
  2. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Yanga iwe timu ya Wananchi katika misingi ya umiliki na uwekezaji

    Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya kwako mwenyewe ya kuyatoa andika uzi wako. Ukiona huu haufai, ufute, au wasiliana na mwandishi...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

    Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison. Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo. SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ina maana Sisi Yanga Hatupati kitu? 😳😳😳 Tutasonga mbele

    Hii TFF ni ya Simba kabisa... tuzo 5 zote zimeenda kwao. Ina maana sisi hatukucheza hii ligi? Hii ni Hujuma. Hata wale wachezaji ambao tulionesha tunawata au kuwasajili wamenyimwa. Hili jambo Viongozi wa Yanga watajadiliana ili twende kushtaki.hii siyo haki. Mnadumaza mpira wa Tz. Huu ni...
  5. Shark

    JamiiForums Tanzania Yanga yaachana Rasmi na Kelvin Yondan na Juma Abdul

    Klabu ya Soka ya Yanga imeamua kuachana rasmi na Walinzi wao Kelvin Yondan na Juma Abdul Jafary baada ya kushindwa kufikia maafikiano.
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Yanga hatuna elimu na si binadamu wa kawaida

    Kocha Luc Eymael kuna jambo lilimfanya atuone sisi ni kama Manyani au Mbwa. Aliona tunapiga kelele tu na hatuna elimu, yaani ni vilaza. Nmeshangaa tunaposhangilia team karibia yote kupigwa chini na kuanza kuokoteza okoteza wachezaji wakati tulipaswa kusajili wachezaji wachache ili kuimalisha...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC muanze Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwani huenda 'Viongozi' wenu baadhi wakayaanza Maisha mapya Jela Segerea

    BENARD MORRISON KUMALIZA 'MASINEMA' YAKE NA YANGA Shirikisho la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10 baada ya kazi ya uchunguzi iliyofanywa na Jeshi la Polisi kumalizika. Kiungo huyo mshambuliaji kutoka nchini...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Usajili huu mzuri na Kabambe kabisa unaofanywa na Yanga SC sasa, bila shaka Makocha wao wapya kutoka nchini Hispania ni hawa wafuatao

    Kutokana na Usajili wanaoufanya sasa ambao 'Kitaalam' na 'Kiufundi' ni wa Kipumbavu (Kipopma) ukiachilia mbali ni wa Kimasikini pia, Mabingwa wa Kutochukua Kikombe chochote ndani ya Miaka Mitatu Yanga SC tayari wameanza Kututambulisha 'Kisiri' Makocha wao wapya ambao nahisi watakuwa ni hawa...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hili Gazeti kwanini lisiitwe Yanga Sports? Si kwa mahaba Haya

    Miaka ya nyuma tunanua Yusuph Manji alikuwa anawanunua sana waandishi wa habari waandike kuhusiana na yeye na Yanga. Na moja ya magazeti ambayo yalitumika sana ni MWANASPOTI. Gazeti hili limeendelea sana kuandika habari za kishabiki,zisizo na weledi kwa kuangalia sana jinsi ambavyo wataipendeza...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga ni nani anayesajili wachezaji?

    Ni vizuri atakayekuwa kocha mkuu wa timu akahusika kwa zaidi ya 80% katika kufanya usajili wa wachezaji atakaowatumia kwenye msimu unaofuata. Hii itamfanya awajibike kama wachezaji hao hawataonyesha juhudi kwenye ligi na timu kushindwa kupata matokeo chanya. Kocha Mkuu kukuta wachezaji ambao...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Yanga ikichezea kichapo cha 4-1. This is Simba

    Kipi kinakufurahisha kwenye hii video. Mimi ni mkwara wa Luis Miqsonne akishangilia goli lake kwa kutamba Shadeeya Sibonike
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga ni bora kuwa maskini jeuri kuliko haya

    Huyu alituambia Shishimbe amesajiliwa tayari leo hii imeonekana kumbe hawakumsajili na wameshindwana.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki nilichokisikia Leo Wasafi FM huenda yale maneno ya ' Kashfa ' ya Kocha Luc Eymael kwa Uongozi wa Yanga alikuwa sawa

    Miezi kama si Miwili hivi nyuma nakumbuka kupitia Redio hiyo hiyo ya Wasafi FM ( japo Video yake ipo na ilienea pia ) Mmoja wa Mwana Yanga SC anayejifanya ana Hela na anataka Kushindana na Mo Dewji ' Injinia ' Hersi kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa tayari Klabu ya Yanga imeshamalizana na...
  14. Dam55

    JamiiForums Tanzania TFF yatuma barua ya mashitaka CAF dhidi ya Kocha wa Yanga sc

    Hongereni TFF kwa kulishughulikia hili Tanzania hatutaki tabia za kibaguzi kwenye soccer letu.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza audio ya kocha wa Yanga, ameongea ukweli mtupu. Uongozi wa Yanga haupendi kuambiwa ukweli

    Habari wadau, Nimesikiliza Audio ya kocha wa Yanga maneno aliyoyasema ni ya kweli tupu. Mimi ni mwanayanga ila sijasikia sehemu akitutukana. Viongozi wa Yanga wameibadilisha tafsiri ya maneno ya kocha ili walinde vibarua vyao na kujitetea maovu yao kwa mashabiki. Kocha amesema anashangaa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi

    Hii haivumiliki na GENTAMYCINE nasema tena kuwa hii haivumiliki na namuomba Waziri wa Michezo aamuru Jeshi la Polisi nchini Tanzania chini yake IGP upesi sana wamsake (wamtafute) popote pale alipo Kocha wa Yanga SC Raia Ubelgiji Luc Eymael kwa ‘ Matamshi ‘ ya Kuidhalilisha Tanzania na hadi Sisi...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa Yanga ' Tumbo Tumbo ' Fredrick Mwakalebela tafadhali acha ' Kudanganya ' Hayati Mkapa hakuwa Shabiki wa Yanga SC

    Juzi ulipokuwa ukilialia kama ambavyo ' Voice Note ' yako ime ' trend ' kweli kweli kuhusu ' Kusakamwa ' na wana Yanga kwa kile walichodai kuwa ulikuwa ' ukiwahujumu ' nilikuonea Huruma na Kudhani wanakuonea ila kwa ' Uwongo ' uliousema Leo kuhusu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga na Azam kucheza michuano ya kimataifa?

    Upo uwezekano mkubwa kwa Tanzania kupata nafasi nne za uwakilishi kwenye michuano ya vilabu barani Afrika (CAF CL na CC) kutokana na uwezekano wa Libya kuondolewa kwenye michuano hiyo baada ya kukosa sifa kwa kuwa hawakuendesha ligi yao kutokana na changamoto za kiusalama Kupitia michuano...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Yanga kutokea kambini hotelini mechi za Dar ni matumizi mabovu ya hela

    Habari wadau, Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club. Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini. Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa...
Back
Top Bottom