Yanga wamemtambulisha CEO Kivuli Senzo aliyekuwa Simba SC. Katika utambulisho wameonyesha ujuzi wa bosi huyo pamoja na timu alizopitia.
Yanga imefanya jambo la aibu kwa kuonyesha timu zote alizopitia isipokuwa Simba Sc timu ambayo alikuwa kabla ya kuajiriwa na Yanga.
Hii inatia kinyaa,hakika...
Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba.
Imasikitisha sana.
Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana.
Mtulie hivyo hivyo. Hiyo ilikuwa trailer. Movie yenyewe bado.
Ni muda sasa toka GSM mtuambie mnamsainisha huyu Mwamba Tupeni raha wenzenu. Tupeni utamu Malizeni issue yake leo hii Chama awe wetu. Hapo ndo patakapowauma Simba.
Tumchukueni Chama kupoza maumivu ya Morrison na Larry Bwalya. Msihangaike sana Chama anatufaa na tumeshamwona mambo yake live ni...
Wakuu Kwema?
Kwa sasa tuko kwenye usajili, ndio msimu wake huu. Simba walimsajili aliekua Mchezaji wa Yanga Bernad Morrison. Yanga "wakalipa" kwa kumchukua aliekua CEO wa Simba bwana Senzo Masingiza Mbatha.
Sasa Simba wamechukua Mchezaji aliekua akiwaniwa na Yanga Mzambia Larry Bwalya. Ushauri...
Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee.
Wiki...
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.
Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo...
GSM Waliokuwa Home Shopping Centre ni wahuni toka Serikali ya Kikwete. Hawa tunawafahamu walikuwa wakifanya uhuni kukwepa kodi, baadaye alipoingia Magufuli madarakani walijifanya wamefilisika na kubadili jina luwa GSM.
Ni wahuni toka zamani na wezi wakubwa. Hawa wamekuja ichukua team yetu...
Kuanzia Leo GENTAMYCINE nitaanza kuwa makini sana hasa pale Mtu akiwa 'anamdhalilisha' au 'anamdhalilisha' fulani kwani badala ya Mimi kuanza kuona kuwa ana 'Makosa' huenda kumbe akawa yuko sahihi na pengine anastahili hata 'Pongezi' zangu. Kwa kilichotokea leo Karume Stadium huenda aliyekuwa...
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
Kwanza kabisa mimi ni mshabiki wa Simba nakiri hili lakini hapa sitachambua kama mshabiki wa Simba bali Kama mshabiki wa Soka.Kwa Hili sakata linaloendelea naona kabisa BM hatachomoka kwenye Hili sakata ukiangalia kwa makini utaona hili.
BM Amejitia kitanzi mwenyewe
Wakati BM alikuwa akihojiwa...
Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!!
Imagine mwandishi eti anahoji mbona Morrison alikubali kwenye audio clip badala ya kuhoji Mkataba ni OG au Fake! Imagine mtu mwenye akili...
Taarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba' wake na kwamba hata 'Sahihi' yake pia 'imefojiwa' kinyume na Sheria. Ukweli kamili wa hili upo njiani...
Kwa vyovyote vile Morrison ni mchezaji tu wa timu asiye na nidhamu na kazi yake, lakini Senzo ni taasisi.
Senzo ana Mambo yote ya club ya Simba mabaya na mazuri kifuani mwake, ambayo sasa ni rasmi yanaweza kufika mikoni mwa mwajiri wake mpya.
Wasiwasi yangu ni Yale mabaya (Kama yapo)...
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada, mfumo wa uendeshaji wa timu uko katika Katiba ya timu husika ambayo mostly probably hupitishwa na wanachama wa timu husika.
Mtendaji mkuu wa Simba huteuliwa (appointed) na Board of Directors chini ya Mwenyekiti Mohammed Dewji wakati mtendaji mkuu wa Yanga...
BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON
UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON
NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE TUNAOMBA WANANCHI WAPENZI WA YAMGA MTULIE
NA BAADA YA MAZUNGUMZO.
MTAJULISHWA KINACHOENDELEA
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya kwako mwenyewe ya kuyatoa andika uzi wako. Ukiona huu haufai, ufute, au wasiliana na mwandishi...
Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison.
Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo.
SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU...
Hii TFF ni ya Simba kabisa... tuzo 5 zote zimeenda kwao. Ina maana sisi hatukucheza hii ligi? Hii ni Hujuma. Hata wale wachezaji ambao tulionesha tunawata au kuwasajili wamenyimwa.
Hili jambo Viongozi wa Yanga watajadiliana ili twende kushtaki.hii siyo haki. Mnadumaza mpira wa Tz. Huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.