yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Cvez

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ndio burudani pekee tuliyobaki nayo

    Kushabikia hizi timu kuna raha sana hasa mtani wako akifungwa furaha inazidi kua maradufu. Juzi Simba walikua wanalia leo wanacheka huku Yanga wakilia na si ajabu leo jioni Yanga wakacheka tena. Ni kupokezana kijiti
  2. Jumong S

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yapokea kichapo cha mbwa koko kutoka Kagera Sugar

    Mpk saa hii ni dakika ya 70! Kagera wako mbele Kwa bao 2. Watani zangu mpira hauna mwenyeji! Ligi kuu inaendelea kunoga! FT: Yanga Kala miguu ya bajaji Aina ya TVS Yanga 0-3 Kagera suger! Sent using Jamii Forums mobile app ====== Dar es Salaam. Kagera Sugar imemkaribisha kocha mpya wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wamesajili mafia

    Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni...
  4. Turnkey

    JamiiForums Tanzania Kotei kutua Yanga kesho

    INAELEZWA kuwa Kiungo bora kwa msimu wa mwaka 2018/19 alipokuwa Simba, James Kotei yupo kwenye mazungumzo na Uongozi wa Yanga ili ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria waliotwaa ubingwa mara 27. Habari zinaeleza kuwa, Kotei ambaye alisepa Simba msimu wa 2018/19 baada ya kandarasi yake kumeguka...
  5. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya uwekezaji, je GSM anaitaka Yanga SC?

    Hebu tujadiri hili swala GSM naona anamwaga sana pesa yanga kwenye kununua wachezaji na hata motisha timu kila inaposhinda je ni kwa kuwa ni mdhamini ama kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia? Nakumbuka GSM kuna kipindi alitaka kuinunua African Lyon bahati mbaya ikashuka daraja sasa naona nguvu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa mechi ya Simba na Yanga

    Mechi hii iliyofanyika Jumamosi ilikuwa na matukio mengi ya uwanjani na nje ya uwanja lakini wakati washabiki wengi wakijikita kwenye mjadala wa penati ya Kagere kama ni halali au siyo halali na wengine kujikita kumjadili Aishi Manula juu ya magoli yaliyofungwa huku nje kabla ya kuingia kulikuwa...
  7. Kunguru Mjanja

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

    Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Simba isijaribu kuidharau Yanga , kuna wakati Marehemu hupiga chafya

    Hili ni angalizo ninalolitoa kwa Timu yangu ya Simba , Tusithubutu kudharau yanga kwa sababu ya dhiki waliyonayo , tutaumia ! Inapofika siku ya mazishi Masikini wanakuwa na umoja wa ajabu sana ! Hebu angalia Buguruni kwa Mnyamani au Temeke Mikoroshini jinsi masikini wanavyozikana ...
  9. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuelekea tarehe 4, utabiri wa Simba vs Yanga

    Dogo wa Simba anakula mitama, kama sio refa...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ft SSC VS YANGA DRW

    HAYO NDIO MATOKEO HALISI MSIENDE MKAWAZA VINGINEVYO NA KUUMIZA MIOYO YENU FT 1-1/2-2 HARUNA N KAMA ATACHEXA ATAFUNGA UPANDE WA SIMBA ANAISHIA NA HATA SHATTA .HUYU NAE ATAFUNGA GOLI SO FAR
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mrembo Salma: Kagere akifunga dhidi ya Yanga anioe bure

    Mwanadada mrembo aitwae Salma mkazi wa Temeke wakati akihojiwa na Dauda Tv akaulizwa mchezaji gani anampenda wa Simba akasema Kagere na akaongezea Kama alifunga goal dhidi ya Yanga anioe bure bila mahari hata kama nitakuwa mke wa pili cos najua ana mke tayari.
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga tumrudishe Zahera kikosini

    Kama tumeweza kumrudisha Lamine kikosini sio vibaya kumrudisha Zahera. Kimichezo mapungufu ya Zahera ni madogo kuliko mazuri yake. Hatutajuta kama tutamrejesha Zahera kikosini.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo PhD ya Mwenyekiti wa Yanga Msolla ilikuwa inasubiri hadi Waumbuliwe na Wachezaji ndipo wakiri Njaa Kali Jangwani?

    Kwa mujibu wake mwenyewe amesema kwamba hali ya Kiuchumi ya Yanga SC ni mbaya kutokana na sababu hizi zifuatazo: Yanga SC inadaiwa na TRA Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wa Kigeni Yanga SC inadaiwa na Makocha ( walioondoka na waliopo ) Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wao walioondoka ndani ya...
  14. cutelove

    JamiiForums Tanzania Yanga mpende msipende lazima turudi kwenye bakuli

    Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata kama ni mwekezaji ataogopa madeni ya Yanga Tunaomba uongozi wa Yanga urudishe bakuli kwa wananchi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema Yanga SC kuna Njaa na Shida muwe mnatuelewa tafadhali

    EXCLUSIVE: "Nimeandika barua ya kuvunja mkataba na Yanga kwa sababu sijalipwa mishahara yangu kwa muda wa miezi mitatu sasa. Mimi ni raia wa kigeni unategemea nitaishi vipi hapa"-Lamine Moro mchezaji wa Yanga. Chanzo Habari: Mtandao wa Shaffih Dauda Leo tarehe 7 Disemba 2019 EXCLUSIVE: Falcao...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) hawajawaona Wachezaji wazuri wa Yanga SC yangu hadi wawaone wa Simba SC tu?

    Medie Kagere ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ngazi ya Vilabu 2019 (African Interclubs Player of the Year). Emmanuel Okwi ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi chetu na yeye ametajwa kuwania tuzo hiyo...
  17. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Hata kama tumechoka yanga leo wanacheza tupeni updates wakuu

    Kwa mlio Dar Mtusaidie hili jamani najua tumechoka ila yanga leo wanacheza any updates
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mechi gani ya Watani wa jadi (Simba na Yanga) unaikumbuka zaidi?

    Habari zenu wakuu, Leo katika pita pita zangu katika mtandao wa YouTube nikakutana na vipande vinavyoonesha mechi mbalimbali za Simba na Yanga. Nikiwa kama mdau ma mfuatiliaji wa soka la nyumbani mara nyingi huwa naona mechi zinazoikutanisha Miamba hii ya soka nchini huwa zinakosa mvuto...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga hamjakurupuka kumfukuza Zahera?

    Siyo jambo la ajabu kocha kufukuzwa kwenye club timu ikikosa matokeo viwanjani, lakini hii ya Zahera kushindwa kuifunga Pyramids na Ruvu kustahili kufutwa kibarua hainiingii akilini. Pyramids ina uwezo mkubwa uwanjani na nje ya uwanja kuliko timu yoyote kwenye ukanda wa CECAFA. Yanga ndiyo timu...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kocha Mwinyi Zahera aachia ngazi Yanga. Mkwasa kuinoa kwa muda

    Yanga imevunja mkataba na kocha wake Mwinyi Zahera pamoja na benchi zima la ufundi sambamba na kuvunja kamati ya mashindano. Zahera ametimuliwa na klabu hiyo wakati mwenyewe ameendelea na kazi yake kama kawaida. Zahera leo asubuhi amefika mazoezini kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini na...
Back
Top Bottom