Yanga wameitwa kesho TFF watawakilishwa na Senzo stay tuned

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON

UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON

NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE TUNAOMBA WANANCHI WAPENZI WA YAMGA MTULIE

NA BAADA YA MAZUNGUMZO.

MTAJULISHWA KINACHOENDELEA
 
Senzo mwenyewe anaonekana ni professional ila kwenye kuondoka simba hajaonesha proffessionalism kwenye hili sakata,
Maana pamoja na kua ataenda Yanga bado inabidi abadilishe vibali vya kufanya kazi kutoka Taasisi ya Simba kwenda Yanga. Na kwa sheria za kazi mfanyakazi unapotaka kuacha kazi lazima uiandikie Taasisi barua ya kuacha kazi.
Ila Senzo kwa hili amekosea na kibaya ni kwamba ameacha kua professional na kujiingiza kwenye siasa za Simba na Yanga.
Kwa hili Senzo nimekutoa kwenye Professionalism
 
BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON

UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON

NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE TUNAOMBA WANANCHI WAPENZI WA YAMGA MTULIE

NA BAADA YA MAZUNGUMZO.

MTAJULISHWA KINACHOENDELEA
Sio wamemteua Senzo, Senzo anaenda TFF kwa mujibu wa nafasi yake kama mtendaji mkuu wa Yanga. Ni vema pia ijulikane kuwa Senzo hawezi kugeuza mkataba wa Morrison na Simba kama ni halali, pia hawezi kugeuza mkataba wa Yanga kuwa halali ikiwa ulikuwa feki.

Yanga wanaitwa TFF kwa kuwa wao wanalalamikiwa na Morrison, na kisheria huwezi kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa.

Vv

Nadhani kesi ilishasikilizwa kwa pande zote kuwasilisha ushahidi (morison na yanga) so kilichobaki ni matokeo ya validity ya ushahidi uliowadilishwa hicho ndiCho tunachosubiria na sio hearing tena
 
Sio wamemteua Senzo, Senzo anaenda TFF kwa mujibu wa nafasi yake kama mtendaji mkuu wa Yanga. Ni vema pia ijulikane kuwa Senzo hawezi kugeuza mkataba wa Morrison na Simba kama ni halali, pia hawezi kugeuza mkataba wa Yanga kuwa halali ikiwa ulikuwa feki.

Yanga wanaitwa TFF kwa kuwa wao wanalalamikiwa na Morrison, na kisheria huwezi kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa.

Vv

Vv

Yanga hawana nafasi ya Utendaji Mkuu. Sijajua anaingia kwa nafasi gani Yanga
 
Nilikuwa namheshimu sana Senzo kumbe naye kama Morrison tu, wananchi hawajui watamzibua nyie mwacheni tu
kumbuka kunamaisha baada ya michezo,ukisimamia mapenzi ya utim utaishia kula viazi tu.
Nenda mbele rudi nyuma tunamlaumu ngasa kwa Yale aliyoyafanya kipind hcho kwa mapenzi yaliyopitiliza kwa club ya yanga
Tunamlaumu Ajibu kukataa kwenda Tp mazembe ila n kutokana ma mapenzi yake kwa simba
Usimlaum senzo hujui kaaidia nn na yanga mpaka aende huko aiache simba
 
Nami niliposikia amejiuzuru, amechukizwa na ile issue ya Morisson, nikampongeza nikijua yeye hafanani na hawa Waswahili wetu. Kumbe, NYANI WA SOUTH na wale wa kule Kigoma, ni sawa tu!

Utamaduni wa yanga ni mzuri Sana Yan hapo yanga akifungwa gem 3 basi bakora zitaanza kwa usajiri mpya wote Mpaka mfagizi
 
CEO, na katibu mtendaji roles zao ni zile zile tu, ni utofauti wa majina tu mkuu. Kwani majukumu yao ni usimamizi wa shughuri zote za kila siku.
Asante kwa ufafanuzi. Ni lugha tu mimi ndo ilinitatiza kutoka kwa aliyetoa uzi na sijajua anaenda kukaimu nafasi gani kwa sababu Yanga haina cheo cha CEO
 
Back
Top Bottom