yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa ' Kufuru ' tuliyoifanya Usiku wa Kuamkia leo kama Kesho Yanga SC akishinda Taifa nitamwagilia Bustani za Dar Mwaka mzima

    Kwa tulichokifanya ' Kamati ya Roho Mbaya na Ufundi wa Kimila ' usiku wa Kuamkia leo ili Kulipiza Kisasi kwa Yanga SC tutakapocheza nao Kesho Jumapili tarehe 12 July, 2020 kama Yanga SC akishinda ( akitufunga ) tena basi GENTAMYCINE najitolea kuwa namwagilia Bustani zote za Manispaa ya Mji wa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

    My Take Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha. Msipofanya hivyo...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Morrison aishtaki Yanga TFF akidai kusainishwa mkataba ambao haufahamu

    Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Bernard Morrison ameishtaki klabu hiyo TFF, akidai kutotambua mkataba mpya wa miaka 2 unaodaiwa alisaini kwa makubaliano maalum. Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake, Elias Mwanjala imeanza...
  4. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Simba itajuta kuifahamu Yanga, itajuta kuifunga Azam leo

    Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde. Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare! Kila mara huwa nawaambia watani zangu...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkwasa na Yanga yako mtamkumbuka Molinga.Tushachelewa

    Wakatii KIJANA wawatu akibaki dar wakati WA covid akijua anasubiria kuongezewa MKATABA LA hasha Hali ikawa TOFAUTI kabisa kabisa KIJANA akaonekana hafai haitajiki kabisa yanga Wapoo waliotamani avunje hata MKATABA aondoke Si mwingjne n KIJANA Molinga WA ndanda AMBAE alionekana hafai ujio WA...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

    Final Score: Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 80" Yanga 2 - 1 Kagera Sugar 72" Goal Yanga 2 -1 Kagera Sugar{Awesu, Molinga, Kaseke} 60" Yanga 1 - 1 Kagera Sugar 52" Goal: Yanga 1 - 1 Kagera Sugar {Awesu, Molinga} 50" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar HT : Yanga 0 - 1 Kagera Sugar 40" Yanga 0 - 1 Kagera Sugar...
  7. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Simba Sports, Yanga Afirica FC hakuna mwenye hekima hata mmoja?

    Simba na Yang Africa ni virabu vya kihistoria ambavyo havitakufa kuna wakati Yang Africa ilichungulia kaburi miaka ya themanini lakini tokea wakati huo haijafanya makosa hayo. Nchi imehamia Dodoma mbona hamuwazi kuanzisha makazi ya Krabu Dodoma. Pale mlipo kwanza hapafai. Mmebaki na majengo ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa Rais wa Yanga ama simba, zingetingisha sana Africa, uncle Magu ukistaafu njoo utuongozee yanga kama rais misimu mitatu tu

    Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
  9. Happycuit

    JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

    Habarini za mchana wakuu, Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na sababu zifuatazo; 1. Timu haina future, kuanzia viongozi mpaka wachezaji hawajui wanataka nini, na...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga suala la Morrison tutakufa na Mtu

    Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana. Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye anatunyanyasa na kutufanya wote tuonekane ndula tu utopolo? Huyu bwana mdogo hajaifahamu yanga. kuna watu...
  11. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ni jinsi gani GSM wanavyoanza Kuhatarisha Amani ndani ya Klabu ya Yanga kwa Usanii wao juu ya Mchezaji Bernard Morrison fuatilia hili

    MAMBO NA VIJAMBO VYA WACHEZAJI WA YANGA Kuna mambo mengi sana yanayoendelea ndani ya Club ya Yanga sasa ila yanachukuliwa juu juu tu au kuelezwa sio kwa ufasaha. Moja Leo Eng. Hersi ameongea na Kaimu Katibu wa Yanga ametoa barua vyote zimesema wamesaini mkataba na Morrison 20/03/20 na...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Azam Fc yamshtaki "refa wa Yanga" kwa Bodi ya Ligi

    Kocha aliyeepusha kipigo cha Deportivo La Utopolo ameshitakiwa kwa bodi ya ligi. Bodi itende haki
  13. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Haya sasa wale Mabondia Sports Club a.k.a Yanga Sports Club msiishie tu Kutaka Kuwapiga akina Yikpe na Molinga kama mnaweza hebu mpigeni na huyu nione

    " Lakini ukweli lazima usemwe kwa sasa tuna pambana kukaa juu ya Namungo na kwenye FA tu habari za ligi na nafasi ya pili zili komea jumapili, " Anton Nugaz. Na kwa Kuwakumbusheni tu ili UTOPOLO FC msisahau Mnyama Mnyamani ( Simba Sports Club ) nikishinda tu Kesho dhidi ya Mchovu Mbeya City...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na vyombo vya habari kutoripoti Yanga kubebwa, Azam waiandikia barua bodi ya ligi

    Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata. Ilifikia...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Toka jana Mzee katuonesha na Coach amekubali tufuate Masharti

    Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

    UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kumkata milioni 1 Lamine Moro kwa vitendo vya kihuni

  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba SC: Kuwakabili Ruvu shooting uwanja wa Taifa

    Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni. Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua. Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo: 1.MZUNGUKO elfu 5000 2.VIP B elfu...
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Tukisema kuwa Yanga SC kuna Matatizo, Mgogoro na Kuhasimiana chini kwa chini baina ya Viongozi na akina GSM muwe mnatuelewa!

    Tulidanganywa hapa na Mhamasishaji wao na Msemaji wao Nugaz pamoja nae Bumbuli kuwa Kiungo Mshambuliaji wao wanayemtukuza kuliko hata Mtume Mohammed na Yesu Kristo ( Kiimani ) aitwae Bernard Morisson Raia wa nchini Ghana kuwa amesinya ( ameshasaini ) Mkataba mwingine wa kuendelea Kuitumikia na...
  20. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa huijui Yanga SC ya GSM, La Liga, Sevilla na Mshindo Msolla basi ni hii

    1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa. 2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club. 3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye...
Back
Top Bottom