Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,152
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada, mfumo wa uendeshaji wa timu uko katika Katiba ya timu husika ambayo mostly probably hupitishwa na wanachama wa timu husika.
Mtendaji mkuu wa Simba huteuliwa (appointed) na Board of Directors chini ya Mwenyekiti Mohammed Dewji wakati mtendaji mkuu wa Yanga huchaguliwa (Elected) kwa kura.
Nimejiuliza maswali kadhaa juu huyu ndugu kusaini Yanga:
1) Senzo Mazingiza Mbatha ameenda Yanga kuwa Nani?
2) Kati yake na Mshindo Msolla nani atakua Mtendaji mkuu wa Timu?
3) Hakutakua na mgongano wa majukumu kati ya wawili hawa?
4) Ni kweli alikua akihitajika Yanga?
5) If answer for above is Yes then ili kuziba pengo la nani?
Karibuni.