Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison.

Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo.

SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU.

IMG-20200809-WA0032.jpg

Nlitamani awe Chama. Deo Kanda Bado Hatujawaumiza Simba. Kule hakuwepo kwenye first eleven. 😔😔😔😔😔😔😔
 
Acha neni na mambo ya kulipiza, kinachotakiwa ni Fff kumchapa mtotowake mbele ya hadhara au yeye Tff tumwajibishe. Kwaiyo wata azibiana wenyewe kwa wenyewe tukiona wanaogopana wote watapewa adhabu inayo wafaa.

Kuna jamaa Anadai mkataba wa Morrison haukuwa na fingers print nani namuuliza kwani mkataba ni timu ya usajili ambayo ni document ya Tff?

Mkataba una andaliwa na mwajili ambaye ni Yanga sio Tff, Yanga wakiamua kuwe na dole gumba kwenye sehemu ya sahihi pekeyake sawa, iwe mkono mzima wenye vidole vyote sawa,ili mradi anaye kubali ku usaini awe ameusoma yeye mwenyewe au wakili wake kwa maslai yake. Baada ya apo kivuli cha mkataba kinapelekwa Tff.
 
Hela anatoa nani.. injinia ama msolla..

Yanga toka mzee akili mali aanze kuumwa na kufariki imepooza sana...viongozi vururu vururu
 
Hela anatoa nani.. injinia ama msolla..

Yanga toka mzee akili mali aanze kuumwa na kufariki imepooza sana...viongozi vururu vururu
Mzee Akilimali ndio alikuwa, meamva wa Yanga. R. I. P mzee umeenda na Yanga yako.
 
Yanga km ccm tu....... Karibu wanajifia na kushuka daraja
Pole Mkuu CCM siyo kama vyama vyenu vya kishabiki. Kinawanachama makini.
Tena ujue kuwa CCM ndo maarufu siyo mtu. Nadhanii mifano unayo mizuri tu.
 
Back
Top Bottom