Baada ya kuvinjari kileleni Kwa masaa kadhaa kwenye ligi Ya VPL hatimaye Yanga yaporomoka tena mpaka nafasi ya 4, hii ni baada ya S.S.C kushinda 4G, hata hivyo pongezi kwake kocha mpya Zlatko krmpotic kwa kuwa Yanga Afrika haijawahi kugusa nafasi hiyo Kwa takribani miaka 2 nyuma.
Kongole Yanga
Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL, jambo hili halijawahi kutokea kwa timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma.
Pongezi kwa Timu ya Yanga japo lolote linaweza kutokea mzunguko wa tatu wa ligi hiyo utakapokamilika. Hii ni hatua kubwa kwa Yanga...
Habari wana Jamiiforums
Baada ya kuifunga Mbeya city, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Kagera sugar katika uwanja wa kaitaba mkaoni Kagera. Nawakaribisha mashabiki wa mpira wajionee kabumbu nzuri na ya kuvutia kutoka kwa Mabinga wa kihistoria.
Na hiki ndicho kikosi cha...
Naomba ateuliwe Mwanachama Mmoja hapa na awe ni mwana Yanga SC Mwenzetu kabisa kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE ili tuweze kufanya 'Mobilization' ya 'Michango' hadi ipatikane Tsh Milioni Tano na 'tumkabidhi' Msemaji wetu Hassan Bumbuli ambaye Klabu yetu ya Yanga na hadi 'Wadhamini' wetu GSM chini...
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana.
MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze?
Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
Fremu hizo moja 25,000/= ukichukua mbili 40,000/=
Fremu za A4 ni 15,000/=
Unafikishiwa Hadi nyumbani.
Lakini pia Kama unahitaji fremu ya picha tofauti na hizo. Unasema tunakutengenezea kulingana na mahitaji yako.
Call/WhatsApp/SMS +255743978475
Picha za ukutani zenye upana wa 30 cm na Urefu wa 40 cm , au unaweza kusema A3. Gharama yake 25,000/=
A4 ni 15,000/=
Ukitaka picha yoyote ya ukutani special for you, pia tunakutengenezea.
Delivery tutafanya pia.
Tuwasiliane +255 743978475
Instagram kanvas.co.tz
Habari wana Jamiiforums
Baada ya jana kutabiri mikia kutoa sare, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Mbeya city katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Nawakaribisha mashabiki wa mikia wajifunze na waweze kuona mpira wa ukweli na usio na makandokando.
Na ichi ndicho kikosi cha...
Kwa wale washabiki wa Yanga na baadhi ya watangazaji wanaolalamika kuhusu habari za Yanga kutopostiwa kwenye pages za CAF Champions League
Kwanza mnatakiwa mfahamu kama haushiriki mashindano ya CAF CL au Confederation Cup huwezi kupostiwa
Mfano ukipitia page ya UEFA kwa msimu ulioisha huwezi...
Wakuu,saluti kwenu.naamini wote jana mlishuhudia mechi mbili tofauti za watani wa jadi.Wakati naangalia mechi ya mnyama mkali na Ihefu nilishangaa mashabiki na wapenzi wa Yanga wakibeza matokeo ya Simba kwamba imeshindwa kupata angalao goli nne kwa timu ndogo iliyopanda daraja msimu tena kwa...
Mechi live kila mwenye access atupe updates
Kila la heri asukile uwanyooshe jiesm
========
Kipindi cha Kwanza
Goal dk ya 7 Lambart nje ya 18 anawatanguliza Prisons
Yanga 0-1Tanzania Prisons
Wakuu salam leo nilikuwa nafuatilia kwa kalibu kampeini za Magufuli kule mkoani mara mara baada ya kupanda kaka wa taifa kama alivyoitwa na katibu makongoro alitiwa mifano mingi mizuri ila miwili tu mifano iliyo nivutia
1. Alisema huwezi kukumbatia jiko la makaa ya moto
2. Alitowa mfano wa...
Halafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama wakati kumbe nyuma ya Pazia mngekuwa mnapokea tu 'Ushauri' wangu leo mngefaidika nao na hata kuwa...
Habarini Wananchi Wote,
Kufuatia Idara ya uhamiaji kuagiza Timu zote ambazo zimeajiri kocha na Wachezaji wa Kigeni kuwasilisha Majina, Vibali vya kuishi na Vibali vya Kazi kwenye ofisi za Uhamiaji, Munaonaje sisi Timu ya Wananchi tukakataa kupeleka Vibali vya Morrison?
Ikumbukwe kuwa hapo...
Habari zinadai muunguja hataki kwenda mazoezini hadi alipwe chake je kuna ukweli juu ya hilo?
Means yanga wanadaiwa bado?
Gsm kazi yao IPI?
Source ni facebook pages za wanayanga
Hakika inasikitisha sana TFF na Klabu zetu zinapowatelekeza Wachezaji wake walioliletea Taifa na Vilabu zetu wakati wanacheza mpira.Mchezaji Allan Shomari alikuwa Mchezaji mahiri wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa.Mchezaji huyu amepoteza uwezo wa kuona hali ambayo inamfanya ashindwe kuendesha...
Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu' kabisa wa hawa Wachezaji akina Kisinda, Sarpong na Tonombe badala yake nataka akina Yikpe, Molinga na...
Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni.
Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa?
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.