Naomba niwe wa Kwanza kumuomba Radhi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC 'Mbeleshi' Luc Eymael kumbe 'alipowadhalilisha' Watu fulani hakukosea

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Kuanzia Leo GENTAMYCINE nitaanza kuwa makini sana hasa pale Mtu akiwa 'anamdhalilisha' au 'anamdhalilisha' fulani kwani badala ya Mimi kuanza kuona kuwa ana 'Makosa' huenda kumbe akawa yuko sahihi na pengine anastahili hata 'Pongezi' zangu. Kwa kilichotokea leo Karume Stadium huenda aliyekuwa Kocha wa Sokwe Mbwa Nyani Club (Young Africans) Luc Eymael alikuwa sahihi.

Pia nichukue nafasi hii kuwaita wale wote 'walionidhihaki' niliposema iwe isiwe 'Mchezaji' atawabwaga 'Wapuuzi FC' waje waendelee Kunitusi hapa.
 
Yanga oyee
FB_IMG_1597794422680.jpg
 
naunga mkono
 
Back
Top Bottom